Wakili wa Fei Toto asema wamepokea hukumu lakini Fei hana mpango wa kurudi Yanga

Wakili wa Fei Toto asema wamepokea hukumu lakini Fei hana mpango wa kurudi Yanga

Kama hataki kurudi, atakula jeuri yake. Nawaomba viongozi wa Yanga waendelee kusimama kwenye mkataba wao na huyo mchezaji. Wasitetereke.

Au asubiri mpaka mkataba wake uishe 2024! Na kama hawezi, basi awaambie hao wahuni wake waliomshawishi, wajitokeze hadharani na kufuata taratibu za kumsajili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnakazania sana watu wajitokeze? Watu gan? Nyie malizaneni na Fei kwani.

Kumbee mnataka pesa za watuuu bureeeee, mmeishiwaaa eeeh
 
Wakili Salum Nduruma ambaye anamuwakilisha mchezaji Feisal Salum katika mgogoro wake wa kimkataba dhidi ya Yanga amesema wamepokea nakala ya maamuzi ya Kamati na mteja wake hana mpango wa kurejea Yanga kuendelea kuichezea timu hiyo.

“Feisal Salumu mpaka sasa hivi hana mpango wa kurudi na kuichezea Yanga na msimamo wake ni uleule kwamba anataka kuendelea kupinga hayo maamuzi kwa sababu anaona hayakumtendea haki… njia iko nyeupe kwenda CAS,” amesema na kuongeza:

“Hukumu tuliyopewa haina tofauti na kile kilichotolewa wiki iliyopita na Kamati. Tunataka kuwaandikia FIFA kuwaelezea mazingira yote yalivyokuwa ili kama inawezekana wakati Fei anaendelea na rufaa aweze kusajiliwa katika dirisha moja."
Huyu Fei anajua kiwango na umri vinaenda??
 
Elewa alikuwa na mgogoro kila mtu alikuwa na madai pale mwenye hatia alikuwa hajulikanipaka hukumu itoke
Ukiwa na mgogoro wa kimaslahi au kutochezeshwa kwenye timu ambayo una mkataba nayo ndio scenario ya kutafuta timu inatolewa na FIFA. Sasa kwa upande wa Fei Toto masuala hayo hayapo kwenye mgogoro wake na Yanga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnakazania sana watu wajitokeze? Watu gan? Nyie malizaneni na Fei kwani.

Kumbee mnataka pesa za watuuu bureeeee, mmeishiwaaa eeeh
Nilitaka nishangae usimquote huyo jamaa, sema huwa unamuandama sana bn😄😄😂.

Coca bn😂
 
Wakili Salum Nduruma ambaye anamuwakilisha mchezaji Feisal Salum katika mgogoro wake wa kimkataba dhidi ya Yanga amesema wamepokea nakala ya maamuzi ya Kamati na mteja wake hana mpango wa kurejea Yanga kuendelea kuichezea timu hiyo.

“Feisal Salumu mpaka sasa hivi hana mpango wa kurudi na kuichezea Yanga na msimamo wake ni uleule kwamba anataka kuendelea kupinga hayo maamuzi kwa sababu anaona hayakumtendea haki… njia iko nyeupe kwenda CAS,” amesema na kuongeza:

“Hukumu tuliyopewa haina tofauti na kile kilichotolewa wiki iliyopita na Kamati. Tunataka kuwaandikia FIFA kuwaelezea mazingira yote yalivyokuwa ili kama inawezekana wakati Fei anaendelea na rufaa aweze kusajiliwa katika dirisha moja."
Binafsi naona alipata ushauri usio mzuri!
Hivi inakuwaje mchezaji wa Club kubwa kama Yanga au Simba afanye maamuzi kama vile yupo timu ya daraja la tatu? Ingekuwa amepata offer ya kwenda kucheza Ulaya nisinge mlaumu ila kucheza hapahapa Bongo? kulikuwa na haja gani ya kukimbia dirisha dogo? hii inaweza kumfanya asiaminike na hivyo kumpunguzia umaarufu!
AANGALIE NA WATU WA KUMSHAURI LA SIVYO, ATAPOTEA KWENYE ANGA YA MICHEZO
 
Aisee nimeGoogle maana ya neno extraordinary katika uvunjaji wa mkataba feitoto hawezi kutoboa hata aende wapi.. mana ili uvunje mkataba lazima uwe na sabab za msingi mfano unanyanyasika kazin (uwe na ushaid wa video ama maandishi) ama wizi au kitu chochote kinachohatarisha usalama wako au wa klabu pia.
Kakojoe kalale
 
Anawasikiliza wajinga, akashauriwa mambo ya kijinga, akayakubali maujinga, akayatekeleza hayo mauijnga, anaonekana mjinga sabqbu anawasikiliza wajinga, ataendelea kubakia na ujinga wake.
 
Nilitaka nishangae usimquote huyo jamaa, sema huwa unamuandama sana bn[emoji1][emoji1][emoji23].

Coca bn[emoji23]
Tunajuanaa wenyeweee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wala hakunaa bayaaa hata.
 
Kwahiyo yanga bila fei haiwezekani yani. Tabia za kishamba kumkomalia mchezaji asiendeleze ndoto zake
Tabia hii iko yanga tyuuh, ndo maana leo Ngasa hana chochote kaishia kuwa chokaaa mbayaa magomeni mikumi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani FIFA wanasikiliza tena kesi au wanasoma hukumu ya TFF kuona kama inamapungufu tu basi? Maana navyojua maana ya rufaa siyo kusikiliza tena ushahidi! Lakini mimi simshangai wakili wake maaana wakili hawezi kwambia kwamba hapa hutoshinda siku zote atakwambia hii tunatoboa hata kama ulikamatwa live unachinja mtu.

Kuna kitu kinaitwa review
 
Kwahiyo yanga bila fei haiwezekani yani. Tabia za kishamba kumkomalia mchezaji asiendeleze ndoto zake
Hapa ndio kuna shida. Yanga inachotaka ni utaratibu ufatwe, sio kwamba hawataki aondoka. Athari za kupotezea jambo kama hilo ni kubwa sana mbeleni kwa wachezaji wengine. Imagine Aziz Key anaelipwa 27m per month akiamua na yeye kufanya kama fei alivyofanya na wengine nao hata wa timu zingine wakafanya the same hivi kina club itabaki na wachezaji?. Kuna kumkomalia mtu na kuna kufata sheria ili ubaki salama na ulionao.
 
Back
Top Bottom