Kwasasa ndio muda wa kupiga pesa za Yusufu Bakresa ki ulaini, Mawakili Fanyeni haraka kuanzisha ilo shauri kabla haja ghairi nakala ya hukumu mmeshapewa.
Iyo kesi Kwa njia ya kawaida mwambieni hawezi kushinda, Aandae fedha zisizo pungua Dola laki mbili na nusu mpaka laki tatu na hamsini ataweza kushinda, ni kama milioni 570/ 800. Wenzenu Simba ishu ya Morison walifikia Dola laki 3 karibu milioni 670 kwakua wao figisu walizianzia Ndani ya Tff ambao Kuna baadhi ya staff walikua wakiwapa muongozo namna ya kuwasiliana kule FIFA/CAS.
Ndio maana Lile shauri la Morison lilichukua muda kutolewa hukumu kwakua Simba walikua wanawalipa wadau Kwa mafungu.
Ili mambo yasiwe mengi mshaurini Yusufu Bakresa aonane na Yanga kabla ya Dilisha kufungwa anaweza aka okoa fedha nyingi kwakua siamini Yanga watakataa Dola laki mbili kwasasa na mkataba umebaki mwaka na nusu.