[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnakazania sana watu wajitokeze? Watu gan? Nyie malizaneni na Fei kwani.Kama hataki kurudi, atakula jeuri yake. Nawaomba viongozi wa Yanga waendelee kusimama kwenye mkataba wao na huyo mchezaji. Wasitetereke.
Au asubiri mpaka mkataba wake uishe 2024! Na kama hawezi, basi awaambie hao wahuni wake waliomshawishi, wajitokeze hadharani na kufuata taratibu za kumsajili.
Elewa alikuwa na mgogoro kila mtu alikuwa na madai pale mwenye hatia alikuwa hajulikanipaka hukumu itokeScenario mbili tofauti ile Okwi hakulipwa mshahara wa miezi mitatu.
Huyu Fei anajua kiwango na umri vinaenda??Wakili Salum Nduruma ambaye anamuwakilisha mchezaji Feisal Salum katika mgogoro wake wa kimkataba dhidi ya Yanga amesema wamepokea nakala ya maamuzi ya Kamati na mteja wake hana mpango wa kurejea Yanga kuendelea kuichezea timu hiyo.
“Feisal Salumu mpaka sasa hivi hana mpango wa kurudi na kuichezea Yanga na msimamo wake ni uleule kwamba anataka kuendelea kupinga hayo maamuzi kwa sababu anaona hayakumtendea haki… njia iko nyeupe kwenda CAS,” amesema na kuongeza:
“Hukumu tuliyopewa haina tofauti na kile kilichotolewa wiki iliyopita na Kamati. Tunataka kuwaandikia FIFA kuwaelezea mazingira yote yalivyokuwa ili kama inawezekana wakati Fei anaendelea na rufaa aweze kusajiliwa katika dirisha moja."
Ukiwa na mgogoro wa kimaslahi au kutochezeshwa kwenye timu ambayo una mkataba nayo ndio scenario ya kutafuta timu inatolewa na FIFA. Sasa kwa upande wa Fei Toto masuala hayo hayapo kwenye mgogoro wake na Yanga.Elewa alikuwa na mgogoro kila mtu alikuwa na madai pale mwenye hatia alikuwa hajulikanipaka hukumu itoke
Nilitaka nishangae usimquote huyo jamaa, sema huwa unamuandama sana bn😄😄😂.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnakazania sana watu wajitokeze? Watu gan? Nyie malizaneni na Fei kwani.
Kumbee mnataka pesa za watuuu bureeeee, mmeishiwaaa eeeh
Scenario mbili tofauti.Elewa alikuwa na mgogoro kila mtu alikuwa na madai pale mwenye hatia alikuwa hajulikanipaka hukumu itoke
Binafsi naona alipata ushauri usio mzuri!Wakili Salum Nduruma ambaye anamuwakilisha mchezaji Feisal Salum katika mgogoro wake wa kimkataba dhidi ya Yanga amesema wamepokea nakala ya maamuzi ya Kamati na mteja wake hana mpango wa kurejea Yanga kuendelea kuichezea timu hiyo.
“Feisal Salumu mpaka sasa hivi hana mpango wa kurudi na kuichezea Yanga na msimamo wake ni uleule kwamba anataka kuendelea kupinga hayo maamuzi kwa sababu anaona hayakumtendea haki… njia iko nyeupe kwenda CAS,” amesema na kuongeza:
“Hukumu tuliyopewa haina tofauti na kile kilichotolewa wiki iliyopita na Kamati. Tunataka kuwaandikia FIFA kuwaelezea mazingira yote yalivyokuwa ili kama inawezekana wakati Fei anaendelea na rufaa aweze kusajiliwa katika dirisha moja."
Okwi alikua halipwi mshahara , Feisal anadai nini?Imeshatokea mara nyingi, Okwi akiwa na mgogoro na timu yake ya Tunisia alisajiliwa sport club villa acheze kulinda kipaji usishangae akaibukia Simba
Nendeni hata mbinguniTunaenda CAS hatukubali huu ujinga
Kakojoe kalaleAisee nimeGoogle maana ya neno extraordinary katika uvunjaji wa mkataba feitoto hawezi kutoboa hata aende wapi.. mana ili uvunje mkataba lazima uwe na sabab za msingi mfano unanyanyasika kazin (uwe na ushaid wa video ama maandishi) ama wizi au kitu chochote kinachohatarisha usalama wako au wa klabu pia.
Career yake ilibakiza miaka mingapi na angekusanya tumilioni tungapi mpaka iishe kwa aina ile ya mkataba? Apambane tu. Hata hili analofanya huenda linampa fedha nzuri tu, either ashinde au ashindwe.Huyu dogo ana haribu career yake kizembe kabisa
Tunajuanaa wenyeweee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilitaka nishangae usimquote huyo jamaa, sema huwa unamuandama sana bn[emoji1][emoji1][emoji23].
Coca bn[emoji23]
Tabia hii iko yanga tyuuh, ndo maana leo Ngasa hana chochote kaishia kuwa chokaaa mbayaa magomeni mikumi.Kwahiyo yanga bila fei haiwezekani yani. Tabia za kishamba kumkomalia mchezaji asiendeleze ndoto zake
Kwani FIFA wanasikiliza tena kesi au wanasoma hukumu ya TFF kuona kama inamapungufu tu basi? Maana navyojua maana ya rufaa siyo kusikiliza tena ushahidi! Lakini mimi simshangai wakili wake maaana wakili hawezi kwambia kwamba hapa hutoshinda siku zote atakwambia hii tunatoboa hata kama ulikamatwa live unachinja mtu.

Hapa ndio kuna shida. Yanga inachotaka ni utaratibu ufatwe, sio kwamba hawataki aondoka. Athari za kupotezea jambo kama hilo ni kubwa sana mbeleni kwa wachezaji wengine. Imagine Aziz Key anaelipwa 27m per month akiamua na yeye kufanya kama fei alivyofanya na wengine nao hata wa timu zingine wakafanya the same hivi kina club itabaki na wachezaji?. Kuna kumkomalia mtu na kuna kufata sheria ili ubaki salama na ulionao.Kwahiyo yanga bila fei haiwezekani yani. Tabia za kishamba kumkomalia mchezaji asiendeleze ndoto zake