Wakili wa Fei Toto asema wamepokea hukumu lakini Fei hana mpango wa kurudi Yanga

Okwi alikua halipwi mshahara , Feisal anadai nini?
Kulikuwa na kesi cas kati ya Okwi na timu yake na kipindi hicho Okwi aligoma kurudi kipindi kesi inasikilizwa Okwi akaomba FIFA kucheza ili kulinda kipaji chake.

Mimi sizungumzii madai ya Okwi Bali naonyesha kama. Feitoto akifungua kesi cas anaweza kuomba asajiliwe Kwa muda ili alinde. Kipaji chake
 
Tunajuanaa wenyeweee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wala hakunaa bayaaa hata.
Naelewa ndiomaana nikacomment hivyo.✊🏿

Utani wenu nmeshuhudia kwa muda sasa😄.
 
Tabia hii iko yanga tyuuh, ndo maana leo Ngasa hana chochote kaishia kuwa chokaaa mbayaa magomeni mikumi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anakula mihogo kwa mama nani vileee?
 
Imeshatokea mara nyingi, Okwi akiwa na mgogoro na timu yake ya Tunisia alisajiliwa sport club villa acheze kulinda kipaji usishangae akaibukia Simba
Hivi wewe unaijua kesi ya okwi ilikuwa nini au unaropoka tu, Kesi ya okwi ni vitu viwili tofauti na kesi ya feisal, Okwi akulipwa mshahara wake wa miezi mitatu na stahiki zake nyingine kwenye mkataba akutimiziwa automatic kwa sababu hizo mkataba ulivunjika lakini Etoile du sahel awakukubali ndio chanzo cha okwi kuomba kipaji chake kilindwe kwa kucheza timu nyingine, Sasa uyo Feisal ajalipwa? Ni kitu gani ajatimiziwa kwenye mkataba wake?
 
Hii TFF ya Nkuhungu inaenda kuaibika huko CAS
 
Wewe ndio umepitia kwa umakini kuliko wanasheria wa YANGA?
 
Huwezi kuomba kwa kesi kama yake, ametaka mwenyewe kuharibu kiwango, amepewa nafasi ya kucheza, analipwa mshahara sasa hapo shida ilikuwa nini??
 
Si mlisema NO FEI ,NO PROBLEMA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kinachowaliza nini?
 
Si mlisema NO FEI ,NO PROBLEMA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kinachowaliza nini?
Mnaolia ni nyinyi mashabiki wa simba. Sisi wenye mkataba na huyo mchezaji, tunamtaka aheshimu makubaliano ya kwenye mkataba wake. Na akiendelea kukaza, fuvu; atakula jeuri yake.

Yanga ni timu kubwa. Na haimtegemei huyo dogo, kama nyinyi mnavyo mtegemea Chama! No Chama, no goal! No assist.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnakazania sana watu wajitokeze? Watu gan? Nyie malizaneni na Fei kwani.

Kumbee mnataka pesa za watuuu bureeeee, mmeishiwaaa eeeh
Fei hakukurupuka kuvunja mkataba, lazima kuna external force. Aache kupenda Kitonga, aje na hao waliomshauri, waweke dau wasepe nae.
 
Siwezi kukuelewesha Kwa sababu umekuwa mgumu kuelewa mchezaji anaomba kulinda kipaji chake wakati kesi inasikilizwa.
Kesi Haina muda maalumu wa kuisha sijazungumzia kesi ya Okwi ilikuwa inahusu nini
 
Siwezi kukuelewesha Kwa sababu umekuwa mgumu kuelewa mchezaji anaomba kulinda kipaji chake wakati kesi inasikilizwa.
Kesi Haina muda maalumu wa kuisha sijazungumzia kesi ya Okwi ilikuwa inahusu nini
Kama ni ruhusa ya kulinda kipaji akitolewi kiholela kama unavyohisi wewe lazima kuwe na sababu za msingi za yeye kupewa icho kibali sasa yeye anao mkataba halali na klabu yake kama anataka kulinda kipaji arudi kwenye klabu yake alinde kipaji chake akiwa uko wakati kesi yake inaendelea sababu msingi wa kesi yake sio kuvunjiwa mkataba bali yeye ndiye anadai kuvunja mkataba na amegonga mwamba nafikiri umenielewa
 
Siwezi kukuelewesha Kwa sababu umekuwa mgumu kuelewa mchezaji anaomba kulinda kipaji chake wakati kesi inasikilizwa.
Kesi Haina muda maalumu wa kuisha sijazungumzia kesi ya Okwi ilikuwa inahusu nini
Kitakua kituko haswaa kwa mchezaji halali wa timu kijiunga na timu nyingine kwa kisingizio cha kulinda kipaji. Kwa nn asilinde hicho kipaji chake kwa kuichezea timu yake inayommiliki?
 
Mlipwe dola 200,000 ili mtambe? Feisal hana thamani hiyo nje ya Yanga wewe msijidanganye.
 
Kwa vyovyote vile Feisal hii kesi hawezi kushinda. Na ndo mwanzo wake wa kupotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…