Wakili wa Sabaya aomba michango kwa ajili ya kuendesha kesi

Haya sasa UVCCM uwanja ni wenu sasa, muokoeni kijana mwenzenu
 
Wewe matako KITURILO,Mahakama ya Rufaa ilitengua sio kwa kuona hakutenda kosa isipokuwa kulikuwa na mistake kidogo tu upande wa waendesha Mashtaka ndio maana akachomoka,lakini kama ni kosa alifanya maana alikuwa ni Jambazi kama Majambazi mengine tu,nakukumbusha Hukumu ya tarehe 10 lazima ligongwe miaka 30 Jela wakati Kesi ya Moshi ndio kwanza inaanza,kwa akili zako za matakoni unamuita Sabaya Mzalendo unafahamu maana ya uzalendo matako wewe??masela wa Gereza la Karanga nao wanamtekenya mkundu ule baada ya masela wa Gereza la Kisongo kumaliza kazi,hahaha
 
Hali ya kifedha ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Sabaya ni tete! Hii inatokana na Wakili wa Sabaya kuomba michango kutoka kwa wasamaria wema ili kuendesha na kumaliza kesi zote zinazomkabili.

Mmmh mimi naona kama filamu ya Royal Tour imewahi sana kuwa produced, mbona maajabu na vivutio vya utalii vinazidi kuwa vingi! hii nayo ingeongezwa kule ingevutia bana!
 
Wana legacy tukaonyeshe uwepo wetu pamoja na kumobilize wanyonge kwa wingi kama walivyoshiriki msibani
 
Mkuu bwala ya nyerere limefikia wapi, naona Wazuri mpya kaweka bajeti kubwa kwenye nishati jadidifu. Huyu Waziri atakuwa mpinzani.
 
Hii habari haiwezi kuwa ya ukweli, Wakili anataka kupiga hela! Tutaamini kama Sabaya mwenyewe ataomba msaada kama alivyomuomba Rais Samia kuingilia kati kesi zake mahakamani!
 
Mwenyezi Mungu ameshamuweka huyu katili mikononi mwa vyombo vya haki, ni kulaani kazi ya mikono yako kama utachanga fedha kwa ajili ya hili katili, jambazi, shetani, hayawani na juha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…