Wakili wa Sabaya aomba michango kwa ajili ya kuendesha kesi

Wakili wa Sabaya aomba michango kwa ajili ya kuendesha kesi

Tayari nimeshatuma laki moja.

#free Sabaya
Ww mwenyewe unaishi kwa shemeji (dada yako apate dozi ndio shemeji anunue chakula) leo unasema umetuma laki moja serious??
Sawa nitamuonesha shemeji yako post hii,akutimue kwake.!
 
Auze li v8 lake tu asset si anazo

Ova
 
Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.
Siyo kazi ya Rais au kiongozi yoyote wa ccm kufurahisha tu viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani huku akiacha wanachama wa chama chake wakiteseka. Kesi ya Sabaya ni ya kisiasa pia imejaa uongo mwingi ndiyo maana alipokata rufaa mahakama ikatengua hukumu ya miaka 30 lakini Rais Samia yuko kimya.

Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake. Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa ,sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.
Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki chadema ambao hawana jema kwa nchi yetu.

Chadema kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.
Ndiyo tuwasikilize? Hapana.

#Justice for SABAYA
#Free SABAYA
Kuna uwezekano mkubwa nawe ni mmoja wa watu waliokuwa wanafurahia matendo na manyanyaso ya Sabaya, mbele ya wananchi wa kawaida, viongozi wa vyama vya upinzani na wafanyabiashara. Ndg yangu nataka kukumbusha kuwa "MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI"
 
Hali ya kifedha ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Sabaya ni tete! Hii inatokana na Wakili wa Sabaya kuomba michango kutoka kwa wasamaria wema ili kuendesha na kumaliza kesi zote zinazomkabili.

Anatafuta sympathy hakuna kingine.
 
Hali ya kifedha ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Sabaya ni tete! Hii inatokana na Wakili wa Sabaya kuomba michango kutoka kwa wasamaria wema ili kuendesha na kumaliza kesi zote zinazomkabili.

Wanamuiga Mbowe. Wameamua kuomba msaada. Wanatafuta huruma ya kisiasa. Nadhani amejifunza maana ya kuheshimu mamlaka.
 
Leo ndiyo anajua kuwa anatakiwa kuomba na siyo kukwapua kwa nguvu kwa kutumia madaraka?
 
Atakayemchangia jambazi Sabaya, lazima aandamwe na umaskini katika maisha yake.

Kumchangia Sabaya ni kufuru, ni dhihaka dhidi ya utu wa mwanadamu, utu tuliopewa na Muumba wetu. Sabaya aliyewatesa watu kwa kuwakata masikio, kuwapigilia misumari, kuwapora pesa, leo umchangie!!! Lazima nawe utakuwa umeshiriki uovu wake. Sabaya anaonja anachostahili.
 
Alitaka kuuwa Sabaya

Umeelewa swali la jamaa lakini?? Hata tensi “aliua” au “kuteka” nazo ni ngumu kuelewa?? Unaona kabisa “alitaka” inaendana na swali la jamaa[emoji23][emoji23][emoji23]

By the way, hiyo “alitaka” haikuthibitika mahakamani na Washitaki hawakuwa na nia ya kuendelea na kesi. Hiyo si jambo lilithibitishwa na hukumu.
 
Ndio sababu DPP huyo huyo aliyefuta Kesi ya Sabaya kutaka kuuiliwa wazalendo wanamtaka afute Kesi za Sabaya
 
Atakayemchangia jambazi Sabaya, lazima aandamwe na umaskini katika maisha yake.

Kumchangia Sabaya ni kufuru, ni dhihaka dhidi ya utu wa mwanadamu, utu tuliopewa na Muumba wetu. Sabaya aliyewatesa watu kwa kuwakata masikio, kuwapigilia misumari, kuwapora pesa, leo umchangie!!! Lazima nawe utakuwa umeshiriki uovu wake. Sabaya anaonja anachostahili.
Kumchangia Osama bin laden ni sahihi?
 
Kumchangia Osama bin laden ni sahihi?
Alichangiwa na wapumbavu wenzake.
Dunia Ina wenyewe asingweza wapindua.
Wale wapumbavu wa ISIS walitamba eti wataweka bendera USA saa hizi wapo kuzimu wanatafuna bikira 72.
Mungu hakuwa mjinga kumpa mzungu aisimamie dunia
 
Back
Top Bottom