Wakili wa Sabaya aomba michango kwa ajili ya kuendesha kesi

Naona mnaiga chadema. Na bado.
 
Sabaya hawezi kuwa mzalendo kuwe serious nyie

Tangu lini jambazi akawa mzalendo

Mnalichukulia neno mzalendo kiuwepesi sana achana ujinga
 
Achangiwe tu mbona Mbowe alichangiwa?
Michango huchangwa siyo kwa ajili ya jina bali kwa ajili ya haki.
Wezi na vibaka hupigwa au kuchomwa moto siyo kwa sababu ya majina yao bali matendo yao maovu dhidi ya wengine.
Jamii hujua haki ilipo kuliko hata mahakama zinazofuata sheria.
 
Mbowe tumemchangia sana kupitia Chadema akaongeza mke wapili Joyce Mkya,acha roho mbaya na Sabaya achangiwe hakuna aliyekuwa mwema hapa duniani.
 
Kesi za mbowe Hadi wale Kijani walichanga,ila hapa Kijani wengi wamesha mpuuza mtoa wito CHADEMA ndo kabisaaaaa
 
Mbowe tumemchangia sana kupitia Chadema akaongeza mke wapili Joyce Mkya,acha roho mbaya na Sabaya achangiwe hakuna aliyekuwa mwema hapa duniani.
Kumbe wewe ni mpumbavu kiasi hicho! Inawezekana ulimchangia baba yako kugharimia mchepuko wake!
 
Kumbe wewe ni mpumbavu kiasi hicho! Inawezekana ulimchangia baba yako kugharimia mchepuko wake!
Ukiona mtu anakimbilia matusi jua huyo ni empty kichwani, kwani mbowe ni mmeo mbona unamtetea sana au wewe ndio Mkya?
 
Mbowe mbona alimuua Wangwe, akasema ni ajali wanasiasa wote ni wauaji labda usiingilie maslahi yao
Alipelekwa mahakamani akahukumiwa? Au ni story za kusadikika?
Simtetei kama kweli kaua apelekwe mahakamani zaid ya hapo hakuna litalo fanyika
 
Mpaka leo zimeshachangwa zaidi ya millioni 15, asanteni sana watanzania
 
Duuh huyu Jamaa sahv watu Maisha Magumu tena utoe hela umchangie mtu aliyetumia pesa zake kutombea Kumaa za kina Nandi hiyo hamna Bora tumuombee Maombi ila sio Pesa .
 
Duuh huyu Jamaa sahv watu Maisha Magumu tena utoe hela umchangie mtu aliyetumia pesa zake kutombea Kumaa za kina Nandi hiyo hamna Bora tumuombee Maombi ila sio Pesa .
Tumeshamchangia nyingi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…