Wakili wa Sabaya aomba michango kwa ajili ya kuendesha kesi

Hela alizokuwa anapora wafanya biashara zipo wapi!?ila sabaya alikua na vituko sana….kuna kipindi alikamata wafanya biashara ya mabasi eti wameng’oa reli ili kuijumu[emoji23][emoji23][emoji23].
Mabasi mangapi yapo barabara ya arusha dar mpaka hao wawili ndio wawe wame athirika na reli!?
 
Masikini Sabaya anadhalilishwa Facebook kwa kuomba msaada!
 
Sabaya achangiwa na watanzania wazalendo milioni 15
 
Mkuu tuanze changisha hapo mango hardware tuje kwa Asante tour's alafu tuje malizia kwa mnyampanda ila cjui kama bado atakuwa huko hai
 
Sasa mbona mnatuchanganya? Tupeleke kwa Fauzia Mustapha au kwa huyu Diana Milley?
 
Hali ya kifedha ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Sabaya ni tete! Hii inatokana na Wakili wa Sabaya kuomba michango kutoka kwa wasamaria wema ili kuendesha na kumaliza kesi zote zinazomkabili.

Huyu Faudhia Kaolewa?
 
Hali ya kifedha ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Sabaya ni tete! Hii inatokana na Wakili wa Sabaya kuomba michango kutoka kwa wasamaria wema ili kuendesha na kumaliza kesi zote zinazomkabili.

John Mrema ana mamlaka gani kuhoji ama kulazimisha kunyanyapaa haki ya mtuhumiwa?

Hawa ndiyo wanaodai Katiba mpya wakati hata ya sasa hawaijui na kuifuata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…