Wakili wa Serikali Mayunge: IGA Kama ilikuwa na shida sisi tunaona ipo proper

Wakili wa Serikali Mayunge: IGA Kama ilikuwa na shida sisi tunaona ipo proper

Huyo ndiye Wakili wa Serikali ambaye ni miongoni mwa wale wanaoshindwa na Kesi za Masuluhisho nje.

Yaani Dunia nzima ione kuna kasoro, halafu yeye ndiye anayeiona ni "Proper"?
Yaani Dunia nzima ione kuna kasoro, halafu yeye ndiye anayeiona ni "Proper"?[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Dunia nzima ione kuna kasoro, halafu yeye ndiye anayeiona ni "Proper"?[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndiyo hiyo ni "Proper'
According to the Law Dictionary
proper
adjective
prop·er
: marked by fitness or correctness
especially : being in accordance with established procedure, law, jurisdiction, or standards of care, fairness, and justice

😅
 
Nawashaur msimjibu huyu anajua ukweli wote anachta watu..Asante kwa mchango wako mzuri kummqliza mama Samia kwa mabifu ya kike sisi tunakataa dpword sio mama samia.huu uhuru katupa yy
Haupo "proper", sifahamu chochote kilichojiri, usinijibu, kama kuna link iweke nikajisomee.

Mbona umekasirika, mambo yameenda vibaya kwa upande wako unaoushabikia?
 
Hahahahaha njaa mbaya saaana, ukiwa na Ndugu kama huyu heri kumnyonga tu
Sio njaa tu.
Ule Mkataba, Yaani IGA ume wakamata wote Serikalini, kuanzia Ibara ya 24-29 zote hizo zimewapa wajibu Serikali, I believe ndio zilizotoa basis za na ya Prof Shivji kusema IGA imekaa upande mmoja, na among the obligations, ni Serikali ya Tanzania, baada ya kusaini IGA kwamba itafanya kila kitu ndani ya Uwezo wake, kuhakikisha Mradi huu haupingwi.

That in its self, ni Kujivua ukuu wa Nchi hivyo basi, I think it is safe for me to say it is an apparent abdication of Sovereign powers by the Government and its agents. Huyu wakili ni Agent.

Sio njaa tu, wameshikwa pabaya na itoshe kusema,ni aibu.
 
Back
Top Bottom