Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Iko proper hadi pale shauri litakapofika ICSID na isomeke United Republic of Tanzania granted to pay Dubai World in damages. Rewards $27 Trillions.Huyo ndiye Wakili wa Serikali ambaye ni miongoni mwa wale wanaoshindwa na Kesi za Masuluhisho nje.
Yaani Dunia nzima ione kuna kasoro, halafu yeye ndiye anayeiona ni "Proper"?
Tushawazoea wachumia tumbo na ndio huko tunapelekwa. Sahizi ni mwendo wa taifa kuingia vimikataba vya kichawi na kampuni za mafisadi wenye vibaraka nje huko kwa kigezo cha uwekezaji kisha wanakatisha mikataba ili wakienda mahakamani washindwe na serikali iamuliwe kulipa hela instantly.
Hii ni mfano halisi wa Organized Crime.