Nkaburu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 1,638
- 1,961
- Thread starter
- #41
And that is a hefty sum to pay compared to our GDP and Economy. Just Imagine how long it would take us to pay $27 trillionsIko proper hadi pale shauri litakapofika ICSID na isomeke United Republic of Tanzania granted to pay Dubai World in damages. Rewards $27 Trillions.
You are so right. Ukitizama kulia kushoto mauzito ya mikataba hiyo ni kwenda kuchinjiwa Ulaya au kwenye mahakama zao za nje.Tushawazoea wachumia tumbo na ndio huko tunapelekwa. Sahizi ni mwendo wa taifa kuingia vimikataba vya kichawi na kampuni za mafisadi wenye vibaraka nje huko kwa kigezo cha uwekezaji kisha wanakatisha mikataba ili wakienda mahakamani washindwe na serikali iamuliwe kulipa hela instantly.
Hakika ndugu.Hii ni mfano halisi wa Organized Crime.