Wakili wa Serikali Mayunge: IGA Kama ilikuwa na shida sisi tunaona ipo proper

Iko proper hadi pale shauri litakapofika ICSID na isomeke United Republic of Tanzania granted to pay Dubai World in damages. Rewards $27 Trillions.
And that is a hefty sum to pay compared to our GDP and Economy. Just Imagine how long it would take us to pay $27 trillions
You are so right. Ukitizama kulia kushoto mauzito ya mikataba hiyo ni kwenda kuchinjiwa Ulaya au kwenye mahakama zao za nje.
Hii ni mfano halisi wa Organized Crime.
Hakika ndugu.
 
Upo smart sana Mwamba hao wahuni ndio wanatoa taarifa ya ndege eti ipo Sweden mara Portugal ikamatwe pana madarali Watanzania wanaishi kwa hiyo mbinu uliyoitaja na ni ngumu sana kuwashinda wanatafuta kila mbinu wapate pesa wao sio ishu ya Mkataba ishu ni pesa baada ya Mkataba mbovu kuvunjwa ndio wanaipata...
 
Acha tu haya mambo ukiyafikiria kwa mapana unabaki kustaajabu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…