Na ndio tatizo kubwa ambalo Mimi nimekuwa naliongelea kila siku yaani watu wasipokuwa na aKili hizi nchi za KiAfrica za kujua thamani ya mifumo Bora ya uongozi na maadili yake tutasubiri Sana , hizi nchi zinahitaji social revolution and system overhaul kabisa .Sehemu ambayo inakufanya ujihisi salama ni nyumbani, ukiona mtu anakimbia nyumbani kweli hakukaliki. Njaa mbaya sana watu wangekuwa wanakula wanashiba hata wasingekimbia. Serikali za Africa hazina huruma kabisa. .
Tukiwa wadogo tunasikia wazungu wana uchawi wa maendeleo. Bongo uchawi wa kurudishana nyuma.Na ndio tatizo kubwa ambalo Mimi nimekuwa naliongelea kila siku yaani watu wasipokuwa na Kiki hizi nchi za KiAfrica za kujua thank ya mifumo Bora , uongozi na maadili yake tutasubiri Sana , hizi nchi zinahitaji social revolution and system overhaul kabisa .
Yaani ukiangalia nchi zote kuanzia kwenye pembe ya Africa pale Somalia ,Sudan ,Djibout , Ethiopia , Eritrea uje west yote hiyo , ushuke huku Chini yaani ni majuto watu wanaishi kama mbwa Koko , yaani maisha ya KiAfrica ni Bora uzaliwe mbwa ulaya , kiufupi wengi wanaishi maisha ambayo binadamu hatakiwi kuishiTukiwa wadogo tunasikia wazungu wana uchawi wa maendeleo. Bongo uchawi wa kurudishana nyuma.
Hata akitokea kiongozi mmoja mwenye mwanga kidogo akiingia kwenye system analewa na madaraka. Africa will all die sometime, limekuwa shamba la wanyang'anyi. .
Ulaya hata wanyama wana haki na wanalindwa sanaYaani ukiangalia nchi zote kuanzia kwenye pembe ya Africa pale Somalia ,Sudan ,Djibout , Ethiopia , Eritrea uje west yote hiyo , ushuke huku Chini yaani ni majuto watu wanaishi kama mbwa Koko , yaani maisha ya KiAfrica ni Bora uzaliwe mbwa ulaya , kiufupi wengi wanaishi maisha ambayo binadamu hatakiwi kuishi
Wengi wa hao ni waswali Ijumaa
Wewe na hao mna tofauti gani? na nini kinakufanya uamini wewe ukienda hapo hautafanyiwa walichofanyiwa hao?
Na wao kuwa waislamu kunawaondolea vipi uafrika wao?
Na nani amekwambia waislamu wana uhusiano wowote na waarabu?
Uislamu ni dini tu au unataka kusema wewe mkristo una uhusiano wowote na wazungu?
Kwamba kwakua wewe ni mkristo basi kiasili kwenu ni Europe na ukienda hawatokubagua sababu wewe ni mkristo haijalishi kama ni mwafrika mweusi?
Hakuna mtu anayejali dini yako na ukilinganisha huko nje mostly ni atheists au ni dini kama jina tu, ila watakubagua sababu wewe ni mweusi, au unaona wale black americans wanaokuwa oppressed na kubaguliwa kule marekani ni waislamu?
Waafrika wenyewe tunachukiana namna hii unafikiri nani kutoka race nyingine atakupenda na kukuthamini wewe.
Huna akili.
west african wabaguzi sana. mwaka 2014 mwanamke wa kitanzania alivuliwa nguo hadharani huko India, vyombo vyote vya habari viliandika mwanamke wa kitanzania kaadhilika india! na sio mwafrica kadhalilishwa india. mwaka 2019 wanigeria wauza Unga walipigwa university ya india kwa kosa la madwa ya kulevya, Vyombo vyote vya habari ikiwemo CCTV africa iliandika waafrica wanyanyaswa India.Na ukitaka kujua akili za waafrika ni mbovu angalia hata ndani ya huu uzi.
Hapa kungekuwa ni picha za watu weupe au wanajeshi wa ukraine ungeona "rest in peace" na "walaze mahali pema peponi" kibao.
Cha ajabu ni Waafrika wenzao lakini hauoni chochote. kweli kabisa?
Waafrika wana nini vichwani mwao?
hao wengiwa o ni latino kutoka amerigo ya kusini. wanakimbia kuuwawa , kulipizwa kisasi na kudaiwa wakauwe . unajua kule kuna makundi ya kigangwe yanayomiliki malaya, madwa ya kulevya na kutorosha malaya wakajiuze duniani kote. ukiwachongea polisi wanamtatuta babako, dadako au nduguyo wamuuwe . basi hali ya maisha ya huko ni kuokota maiti tuu. ndo jamaa wanaona bora wajitose USA au canada au Ulaya! lakini west africa ni mpangilio mmbaya wa familia. sasa mwanaume mmoja wake saba, hao watoto 49 na wewe mkulima utaleaje ikiwa hata mbuzi wala mtumbwi huna? kaangalie kisiwa cha lampadusa makaburi yao. msomali kaacha matuta pale utazania anapenda!What about those who died in trucks
Angalia hao pia waliokufa jana kwenye lorry na wamelipa almost $10,000 each
Na sio Waislam View attachment 2276952
Dah unafeli Sana mkuu. Taarifa nyingine so lazima kila Mara kuzihusisha na uislam na kumkejeli anaeaminika kua mjumbe wa mwenyezimungu hasa kwa waislam.wengi ni wafuasi wa Mudy. Kutwa kucha kuwatukana wazungu , cha ajabu kila siku wanadakwa wakikimbilia kwa haohao wazungu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kwani Saudi Arabia pamejaa??[emoji16][emoji16]
Hata Afghan wengi hawakuenda kwa majirani zao Iraq, Pakistan, walikimbilia Ulayawengi ni wafuasi wa Mudy. Kutwa kucha kuwatukana wazungu , cha ajabu kila siku wanadakwa wakikimbilia kwa haohao wazungu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kwani Saudi Arabia pamejaa??[emoji16][emoji16]
We unaumwa nini? Yani Afghans watoroke wadandie ndege ya US Airforce, walipuliwe hapo airbase na Taliban, wakanyaganye wafe kisa wanakimbilia nchi yeyote hata Rwanda wakati Saudi Arabia ni majirani tu hapo. Sembuse hawa weusi [emoji23]wengi ni wafuasi wa Mudy. Kutwa kucha kuwatukana wazungu , cha ajabu kila siku wanadakwa wakikimbilia kwa haohao wazungu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kwani Saudi Arabia pamejaa??[emoji16][emoji16]
Hata leo hii Tanzania ikiwa na uchumi mkubwa sana let's say kama South Africa, Waafrika kutoka kila kona ya bara hili watakuja kuganga njaa hapa. Wewe utakubali?So sad Yan kuna huyo wamwisho kama anataka kufa naona kamalizwa kwakunyagwa,,,anyways hutosikia kiongozi wa Africa akisema Jambo kuhusu tukio hilo,,,sijui lini waAfrica watajua kua wazungu sio ndugu zao inasikitisha sana!bora uombe hifadhi nchi za Africa kuliko huko!
hao wengiwa o ni latino kutoka amerigo ya kusini. wanakimbia kuuwawa , kulipizwa kisasi na kudaiwa wakauwe . unajua kule kuna makundi ya kigangwe yanayomiliki malaya, madwa ya kulevya na kutorosha malaya wakajiuze duniani kote. ukiwachongea polisi wanamtatuta babako, dadako au nduguyo wamuuwe . basi hali ya maisha ya huko ni kuokota maiti tuu. ndo jamaa wanaona bora wajitose USA au canada au Ulaya! lakini west africa ni mpangilio mmbaya wa familia. sasa mwanaume mmoja wake saba, hao watoto 49 na wewe mkulima utaleaje ikiwa hata mbuzi wala mtumbwi huna? kaangalie kisiwa cha lampadusa makaburi yao. msomali kaacha matuta pale utazania anapenda!
Hata Afghan wengi hawakuenda kwa majirani zao Iraq, Pakistan, walikimbilia Ulaya
Waafrika tunatakiwa kupambana kuhakikisha nchi zetu zinapata viongozi wanaojitambua. Hii tabia mbovu ya kukimbilia kwenye mataifa ya watu illegally ni short term solution.Wahamiaji 37 waliuawa na wengine 150 wakijeruhiwa vibaya na vikosi vya polisi katika mpaka wa Morocco na Hispania.
Kulingana na shirika la kutetea haki za wakimbizi UNHCR linaeleza kuwa wakimbizi hao wengi wao wakitokea katika nchi za Chad, Niger, Sudan kusini wangetakiwa kuchukuliwa kama watafuta hifadhi kulingana na sheria za kimataifa.
Kinachoendelea huko kinaumiza sana na mbaya zaidi dunia inaonekana kutokujali, wala vyombo vyote vya habari havioni uvunjifu huu wa haki za binadamu. It's shameful kwa kweli.
#PrayforUKRAIN ndicho dunia inakijua.
======
Hapa tunaweza kutambua ni namna gani waafrika wanachukuliwa wakiwa wakimbizi huko ulaya kulinganishwa na wakimbizi kutokea UKRAIN.
View attachment 2276572View attachment 2276573
View attachment 2276575