Wakina dada msiopaka Makeup nawapeni maua yenu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe anakuachage kwa mfano??! Yaani akikuona mnaanza tena Tom na Jerry
Mimi tena uduguu wako nitasemwa mpk kwenye uzi wa chakula, ujenzi hadi ufugaji kote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa mnoooo
 
Kifupi countrywide haeleweki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumbuka nimecheka alikuwa akiingia ananisearch nipo kona gani aje anizodoe khaaaaa!!

Alicomment kwenye ule uzi nilioanzishiwa na Nalia Ngwena eti, cute wife ana ukimwi atakuambukiza kila siku [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] coutry wako anajijua yee mwenyewwe. Khaaah
 
Michalii ya chuga ndivyo ilivyo [emoji23][emoji23][emoji23]

Penzi limekaa kimitego tukikorofishana tu uduguu ujiandae kutapamba moto humu
 
Tunapokea, japo mi sijanyoa. Ila kwenye make-ups hunikuti.

Although nimepaka mara 2 nilikua nasimamia harusi halafu natokea kama bi harusi 😂
 
Kifupi countrywide haeleweki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumbuka nimecheka alikuwa akiingia ananisearch nipo kona gani aje anizodoe khaaaaa!!

Alicomment kwenye ule uzi nilioanzishiwa na Nalia Ngwena eti, cute wife ana ukimwi atakuambukiza kila siku [emoji23][emoji23][emoji23]
Yalishasja, tusonge mbele. Nyuma tusirudi[emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe anakuachage kwa mfano??! Yaani akikuona mnaanza tena Tom na Jerry
Mimi tena uduguu wako nitasemwa mpk kwenye uzi wa chakula, ujenzi hadi ufugaji kote
Cute wife mrembo matata, kila nachotaka napata
Kwako nimeshadata, fanya fasta ndoa inafata
Sijui umenilisha limbwata, umenijaa moyoni
Sisikii siambiwi na sioni, taswira yako machoni
Mguu wa bia, kiuno laini siachi kukusifia
Sijali wanaokuchukia, day n night nitakupigania
Michano na mistari nakulilia, kilio umekisikia
 
[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji8][emoji8] [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
[emoji7][emoji7]
wooooow'...!!
thanks for the love sweetheart, aiseeeh' huwa tunapendeza kiukweli, na ka way ketu pembeni ka kishkaji..!![emoji2960]
Wassup sista!! It's been a long time, hasn't it? Glad to see u're still around
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu kweli sema sijapaka bleach shemeji yako hapendi anasema utakuwa km wacheza show wa Koffi
Bleach wapo zinawapendeza na pia wapo zinawachukiza. Hapa inabidi ujijue utatokaje
 
Back
Top Bottom