Wakina dada msiopaka Makeup nawapeni maua yenu

Wakina dada msiopaka Makeup nawapeni maua yenu

Michalii ya chuga ndivyo ilivyo [emoji23][emoji23][emoji23]

Penzi limekaa kimitego tukikorofishana tu uduguu ujiandae kutapamba moto humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzuri mie nammuduu, kazi kwakoo wee.
 
Cute wife mrembo matata, kila nachotaka napata
Kwako nimeshadata, fanya fasta ndoa inafata
Sijui umenilisha limbwata, umenijaa moyoni
Sisikii siambiwi na sioni, taswira yako machoni
Mguu wa bia, kiuno laini siachi kukusifia
Sijali wanaokuchukia, day n night nitakupigania
Michano na mistari nakulilia, kilio umekisikia
Kumekuchaaaa, kumekuchaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzuri mie nammuduu, kazi kwakoo wee.

Tuachane na hayo, uduguu kuna mpya gani leo?! Mama Bhoke aliweka ule ubuyu??
 
Hajawekaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake kuwa na mange app sioni shida, Ila kwa wanaume hapana. Kuna mshkaji wangu nilikua nae ana hiyo app

Hivi udugu wewe unasema umbea wote wa mjini unaujua, why unaenda tena kulipia mange app ili upate umbea?
 
Yeye huyo mshkaji wako hujamuuliza kwanini ana app ya Mange??
 
Back
Top Bottom