[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa mnoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe anakuachage kwa mfano??! Yaani akikuona mnaanza tena Tom na Jerry
Mimi tena uduguu wako nitasemwa mpk kwenye uzi wa chakula, ujenzi hadi ufugaji kote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] coutry wako anajijua yee mwenyewwe. KhaaahKifupi countrywide haeleweki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumbuka nimecheka alikuwa akiingia ananisearch nipo kona gani aje anizodoe khaaaaa!!
Alicomment kwenye ule uzi nilioanzishiwa na Nalia Ngwena eti, cute wife ana ukimwi atakuambukiza kila siku [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] coutry wako anajijua yee mwenyewwe. Khaaah
Hongera,,,sogea kwenye kunyoa. Utapendeza Tena na Tena.Tunapokea, japo mi sijanyoa. Ila kwenye make-ups hunikuti.
Although nimepaka mara 2 nilikua nasimamia harusi halafu natokea kama bi harusi 😂
Uduguu nini tena? Mbona mnanisema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] coutry wako anajijua yee mwenyewwe. Khaaah
Kwako nimefunga breakMichalii ya chuga ndivyo ilivyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Penzi limekaa kimitego tukikorofishana tu uduguu ujiandae kutapamba moto humu
Yalishasja, tusonge mbele. Nyuma tusirudi[emoji23]Kifupi countrywide haeleweki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumbuka nimecheka alikuwa akiingia ananisearch nipo kona gani aje anizodoe khaaaaa!!
Alicomment kwenye ule uzi nilioanzishiwa na Nalia Ngwena eti, cute wife ana ukimwi atakuambukiza kila siku [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwako nimefunga break
Ila Nyie Wadau nyie mmenishinda, au nd mnataka mpate kimoja cha Futarioyaa anayebana nywele kwa nyuma
Yalishasja, tusonge mbele. Nyuma tusirudi[emoji23]
Cute wife mrembo matata, kila nachotaka napata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe anakuachage kwa mfano??! Yaani akikuona mnaanza tena Tom na Jerry
Mimi tena uduguu wako nitasemwa mpk kwenye uzi wa chakula, ujenzi hadi ufugaji kote
Cute wife mrembo matata, kila nachotaka napata
Kwako nimeshadata, fanya fasta ndoa inafata
Sijui umenilisha limbwata, umenijaa moyoni
Sisikii siambiwi na sioni, taswira yako machoni
Mguu wa bia, kiuno laini siachi kukusifia
Sijali wanaokuchukia, day n night nitakupigania
Michano na mistari nakulilia, kilio umekisikia
KabisaKwanza najua kuolewa, sijui kuachwa! Kwako nipo sanaaa. [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji8][emoji8]
Cute wife alishatupatanishaHakawiii kunifurusha na mie, maana tumekaa kimtego atae kaa vibaya kimemuwakiaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe kwa nini usiweke?Sikupondei cute [emoji23], basi fanya uweke avatar inayosadifu yaliyomo [emoji39]
Wassup sista!! It's been a long time, hasn't it? Glad to see u're still around[emoji7][emoji7]
wooooow'...!!
thanks for the love sweetheart, aiseeeh' huwa tunapendeza kiukweli, na ka way ketu pembeni ka kishkaji..!![emoji2960]
[emoji23][emoji23][emoji12] unanitafutia balaa, kuna mwenzio alikuwa ananiponda humu alivyoniona live katangaza uchumba
Bleach wapo zinawapendeza na pia wapo zinawachukiza. Hapa inabidi ujijue utatokaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu kweli sema sijapaka bleach shemeji yako hapendi anasema utakuwa km wacheza show wa Koffi
happy to see you around too beshte...Wassup sista!! It's been a long time, hasn't it? Glad to see u're still around