Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?

Eti Bantu Lady Watanzania kufanya mazungumzo mengi ya starehe, mahusiano na kungonoka ukilinganisha na mambo ya sayansi na teknolojia, uchumi etc ni ishara ya watu kuwa na akili ndogo?

Yoda
Yaani bado unataka kufahamu kama watanzania tuna akili nyingi dunia ya leo? Kwani toka 1961 tumevumbua nini? Ikiwa hata viwanda tuliviua, acha tuendelee na story za kuswikana basi siku zisogee, tukitoka hapa ni yanga na simba, then diamond na Ali kiba mengine atajua mungu wao
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
1. Nyumbu pale RUVU.
2. Gari ya Masoud Kipanya.
3. Gobore
 
Eti Bantu Lady Watanzania kufanya mazungumzo mengi ya starehe, mahusiano na kungonoka ukilinganisha na mambo ya sayansi na teknolojia, uchumi etc ni ishara ya watu kuwa na akili ndogo?

Yoda
Sidhani, kuna watu wana akili kubwa ila mazungumzo yao ni ngono sana. Nafikiri akili ya mtu inapimwa kwa vitu vingi. Sijui kama nimejibu sawa Mkuu Kiranga
 
Hivi kumbe una maneno makali namna hii🀣
 
Usafi/umaridadi/utanashati ni muhimu kwa kila binadamu.

Kikubwa Jiamini kijana na binti atakuelewa kama ana akili za kutosha, usijetafuta Escort ya 10 Rose Noire ili tu binti akukubali,ishi ndani ya uwezo wako kama ni manukato/mavazi yaendane na vile unaweza kumudu gharama yake,vingine usivyoweza ukimuigizia mwisho wa siku mtakuja kutufungulia thread ya kukutana na "jangiri wa kike"
 
Sidhani, kuna watu wana akili kubwa ila mazungumzo yao ni ngono sana. Nafikiri akili ya mtu inapimwa kwa vitu vingi. Sijui kama nimejibu sawa Mkuu Kiranga
Kwa hivyo inawezekana kabisa wana akili kubwa ila wanapenda sana kubaki kwenye mazungumzo haya kwa makusudi tu, hawataki kuitumia akili yao kubwa kwenye mambo mengine mengi?

Yoda
 
Kuna mke wa mtu nae anakoment hapa, ooh me msafi, ananukia,,,, kumbe hapo alipo ananyonyesha ni mzembe kushindia madela, ananuka maziwa ukimuuliza bra umevaaa lini hakumbuki kisa eti ni mzazi ,,,, ! Ke wengi ni wachafu kuliko wanaume basi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…