Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
alaa!kumbe wewe ni binti banaHitaji la msingi, mambo ya kuchafuana hatutaki!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alaa!kumbe wewe ni binti banaHitaji la msingi, mambo ya kuchafuana hatutaki!
Yaani bado unataka kufahamu kama watanzania tuna akili nyingi dunia ya leo? Kwani toka 1961 tumevumbua nini? Ikiwa hata viwanda tuliviua, acha tuendelee na story za kuswikana basi siku zisogee, tukitoka hapa ni yanga na simba, then diamond na Ali kiba mengine atajua mungu waoEti Bantu Lady Watanzania kufanya mazungumzo mengi ya starehe, mahusiano na kungonoka ukilinganisha na mambo ya sayansi na teknolojia, uchumi etc ni ishara ya watu kuwa na akili ndogo?
Yoda
Ni kitu cha mwisho kukiangalia, kuhusu pesa huwa zinakuja wakati wowote. Kama ana vigezo vyote na hana hiyo pesa wee nampenda tu.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Maneno ndo huwa wanasikiliza
Siku moja nasafiri alikuwepo gentleman mmoja ila alipoanza kuimba ile nyimbo ya
Diamond inasema "kibane kibane mwisho kiliwe " that was too shit wanawake walimshusha vyeo vyote Asap.
Good looking and being smart upstair you can attract the pretty woman.
1. Nyumbu pale RUVU.Yaani bado unataka kufahamu kama watanzania tuna akili nyingi dunia ya leo? Kwani toka 1961 tumevumbua nini? Ikiwa hata viwanda tuliviua, acha tuendelee na story za kuswikana basi siku zisogee, tukitoka hapa ni yanga na simba, then diamond na Ali kiba mengine atajua mungu wao
😂😂😂😂😂😂😂Unakuta mkaka mzuri tu lkn kavaa mokasini za kung'aa hafu zimeshika vumbi,halafu kisigino kimelika najua kabisa huyu hana jambo
Hapana,naongelea mkanda mzuri wa Lether na walett ya Lether sio unavaa mikanda imetengenezwa machinga complex na fake lether na kina baba yeyooSijaelewa vizuri aisee, Mkanda wa kiunoni? Wallet iwe imejaa doo au muonekano wa wallet?
Sidhani, kuna watu wana akili kubwa ila mazungumzo yao ni ngono sana. Nafikiri akili ya mtu inapimwa kwa vitu vingi. Sijui kama nimejibu sawa Mkuu KirangaEti Bantu Lady Watanzania kufanya mazungumzo mengi ya starehe, mahusiano na kungonoka ukilinganisha na mambo ya sayansi na teknolojia, uchumi etc ni ishara ya watu kuwa na akili ndogo?
Yoda
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hivi kumbe una maneno makali namna hii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌 luv umemaliza kila kitu. Mimi napenda tu kuwaangalia kwenye zipu. Maana kuna wanaodidindisha, basi unajua huyu kibamia huyu wa kati, yule mandingo. Ubusy tu siku hizi, unatunyima kuona vitu vinavyovimba bila hamira 😊
Usitunyanyapae basi...Kitambi
Sipendi vitambi aseee
Nikionaga mtu ana kitambi naona ni mzembe
Wamenihack kaka mkubwa 🙈🙈🙈🙈🙈🙈😅😅😅😅😅Hivi kumbe una maneno makali namna hii🤣
1. Nyumbu pale RUVU.
2. Gari ya Masoud Kipanya.
3. Gobore
Usafi/umaridadi/utanashati ni muhimu kwa kila binadamu.Wasalaam Wadau huu uzi nimefikiria kuuanzisha ili kupata maoni ya kina Dada/Wanawake wa humu Jamiiforums. Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza Dada zangu ni nini hasa au kitu gani huwa unakiangalia na kukiweka kwenye mawazo yako haraka sana? Pale unapokutana na Mwanaume au Kijana kwa mara ya kwanza ? Iwe ni miadi, mualiko au sherehe au tukio lolote linalokukutanisha na Mwanamume/Kijana kwa mara ya kwanza ?.
Nimejaribu kuorodhesha baadhi ya vitu hapa muweze kutuambia hapa. Je ni kipi kati ya hivi nilivyoandika hapa chini huwa ni cha kwanza kukiweka akilini na kukitilia maanani ?
1. Manukato
2. Mikono na kucha
3. Mtindo wa nywele
4. Viatu
5. Usoni
6. Tabasamu
7. Muonekano
8. Mavazi
Usitunyanyapae basi...
Usitunyanyapae basi...
Kwa hivyo inawezekana kabisa wana akili kubwa ila wanapenda sana kubaki kwenye mazungumzo haya kwa makusudi tu, hawataki kuitumia akili yao kubwa kwenye mambo mengine mengi?Sidhani, kuna watu wana akili kubwa ila mazungumzo yao ni ngono sana. Nafikiri akili ya mtu inapimwa kwa vitu vingi. Sijui kama nimejibu sawa Mkuu Kiranga