Mama_Aheshimiwe
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,746
- 4,165
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu nakumbuka siku moja dingi alinisakizia binti mmoja akaniambia changamka umtafune huyo acha ufala
Ikabidi nikaze buti nikamfukuzia hadi nikamgonga
Huyu dingi ni bahariaDuu nakumbuka siku moja dingi alinisakizia binti mmoja akaniambia changamka umtafune huyo acha ufala
Ikabidi nikaze buti nikamfukuzia hadi nikamgonga
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu dingi ni baharia
Hahaha aiseeKuna dingi wa jamaa yetu mmoja alikua mtoto wake anagegeda demu ndani yani nyumbani kwao basi dingi kamaindi sasa wakati anafoka akasema si ungeenda hata gest, alafu akapozi kidogo akatucheki alafu kageuka akampa mwana buku tano kaamwambia nenda gest alafu usirudie huu ujinga
Murungu!Duu nakumbuka siku moja dingi alinisakizia binti mmoja akaniambia changamka umtafune huyo acha ufala
Ikabidi nikaze buti nikamfukuzia hadi nikamgonga
Itoshe tu kusema hujui..hujamwelewa mtoa mada, hujakua kwenye mazingira aliyo ekezea mtoa mada.. Ama umelelewa kwenye familia ya 'mom and Dady...Ulikuwa na umri gani? Kama ulikuwa umemeliza masomo na una miaka kuanzia 20 mama yako kukuambia hivyo sio ajabu
Ila kama ndio ulikuwa shule ya msingi ama sekondar kisha mama anakushinikiza ukatafute wanawake, huyo mama yako alikuwa ni shangingi, stori kama hizo mnaongea na watu wa rika lako sio mama yako
Halafu atakutoleaje mfano wa rafiki yako kufunguliwa kesi kisa wanawake? anataka umuige? mbona ameoza sana kimaadili?
sorry kwa kum judge
Ni kutaka kujua kama amezaa dume kweli au laa[emoji3] [emoji3] [emoji3] Kwa hiyo wamama wanataka watoto wa watu wagegedwe
Issue sio kusikia story wala nn..mzaz anajua fika kwenye umri fulan nategemea tabia ABC kwa huyu mtoto..mbaya zaid inaweza ukute mko watoto wa kiume hata watatu hapo home...agemate..wenzio n wazee wa matukio ...wewe hata fununu tu hakuna...kwann mzazi asiwe na wasiwasi ? Sio kwamba anataka ujihusishe kwenye mapenzi ukiwa na umri mdogo..anachotaka kujua n kujihakikishia huyo kiumbe alie mbeba tumbon miez 9 ni dume kweli au ? Na kama kuna shida itatuliwe mapemaMkuu ni dhahiri mama yako anakuangalia kwa jicho la tofauti, ama amesikia story ambazo hazipendezi kuhusu wewe...unaviashiria vingi vinavyompa wasi wasi akaamua aanze na hilo la mwanamke...mtoto wa kiume aliyekamilika mzazi hawezi kuwa na hofu wala kutaka ajihusishe na wanawake akiwa na umri mdogo
Sisi wanaume ndio tuna hizo tabia za kusakazia watoto wetu wa kiume kutafuna mabinti japo indirect