Wakina mama hujisikia vibaya watoto wao wa kiume wasiposhughulika na wanawake

Wakina mama hujisikia vibaya watoto wao wa kiume wasiposhughulika na wanawake

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jirani alikuja kushtaki Kwa Baba (RIP) kwamba mdogo wake Baba anamahusiano na bint yake hivyo yeye hapendi na amkanye mdogo wake, Baba akamjibu kwamba "nashukuru kwa taarifa Mimi na shemeji yake tulikuwa tunajadili sana.hili Jambo sasa Bora umenitoa wasiwasi" naomba mkanye bint yako asiendeleze mahusiano na bwana mdogo
 
True say mkuu mimi mama yangu nilikuwa naona anatabasamu kila akiniona Nimesimama mahala na msichana, ata kama ni sehemu ya hatari,

Lakini Nakumbuka Mara zote alikuwa akinionya mara tu baada ya kurejea nyumbani
Namnukuu"Mwanangu watoto wa watu hawa angalia kuna magonjwa na Jera"

Hiyo jera alikuwa akiizungumza kila aliponikuta nimesimama na Mtoto wa Jakaya Enzi hizo(wakusoma),miaka 30 ikiwa on fire.

Cc Zero IQ
 
Haya mambo yana kuzwa sana huku inch za magharibi na kumbuka kuna jinsi wanavo taka yafki mpka huko uswahilini ndo maana bi mkubwa ana taka aji hakikishe kama mtoto si mbwambwa
 
True say mkuu mimi mama yangu nilikuwa naona anatabasamu kila akiniona Nimesimama mahala na msichana, ata kama ni sehemu ya hatari,

Lakini Nakumbuka Mara zote alikuwa akinionya mara tu baada ya kurejea nyumbani
Namnukuu"Mwanangu watoto wa watu hawa angalia kuna magonjwa na Jera"

Hiyo jera alikuwa akiizungumza kila aliponikuta nimesimama na Mtoto wa Jakaya Enzi hizo(wakusoma),miaka 30 ikiwa on fire.

Cc Zero IQ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mama wa jamaa angu alimuuliza mwanae "baraka mbona sijawahi kukuona ukiingiza msichana yeyote humu ndani vp mwanangu" dah jamaa akaona kama bi mkubwa labda anahisi mshkaji ni hanithi..

siku moja jamaa akaona bimkubwa katulia barazani nae akapita na demu kuingia nae ndani gheto mama ikabidi atoe ya moyoni
"ivi wewe baraka una dharau sana yaani unaingiza mwanamke kwenye nyumba yangu sasa inabidi uondoke"
 
Wazazi kwanza mtoto wa kiume akizaliwa baada ya siku chache wanaanza kufuatilia kama mnara unasoma 4G au la.
Wakishavuka hapo sasa inabaki kuja kusubiria matokeo ukubwani.

Sio kwamba wanapenda kuona vijana wao wakiwa wazinzi la hasha, hii inawapa utulivu tu kwamba kijana wao yuko sawa. Endapo kungekua na namna ya kupima kirahisi nafikiri wazazi wengi wangewapeleka vijana ili mioyo itulie.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimewahi kusikia wamama wakiongea stendi huyo mmoja alikua anamuhadithia mwenzie kuwa hamuelewi mtoto wake wa kiume kwamba hata akipita mdada mwenye tako jamaa hageuki [emoji23][emoji23][emoji23] sasa anashangaa jamaa anashida gani, hatamani au sio riziki. Jamani msiwape wazazi wenu stress.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama yangu hakupata shida iyo yote ila aliniambia niwe makini nisimpatie watoto wa watu mimba nikajialibia masomo maana stori akizosikia mtaani ilimjulisha kuwa kweli anakidume
 
Sisi wengine tulikuwa tunatafuna mpaka kunyoshewa kibendera cha offside na kuwekewa vikao vya familia. Kuna muda mkikaa na mzazi barazani kisha uone kuna binti uliyempitia anapita karibu na mlipo, unaamua kusepa mdogo mdogo ili mambo yasiwe mengi.
 
In fact hakuwa na maana hiyo ya kumwambia mwanae awape mimba hovyo hovyo but alitaka kujua ka jongoo wa mwanae anapanda mtungi🙈🙈

Ni Mambo madogo tu.
Kwahiyo mama yako HANA NIDHAMU kiasi cha kutaka uwape watu mimba hovyo hovyo!?
 
Mimi kwa kweli nilikuwa silent killer,sikuwa na skendo yeyote mtaani coz nilikuwa nachukuwa mademu mbali na home,ila walikuja kunistukia mienendo yangu kwa beki tatu,alikuwa anafurahi sana uwepo ,akianza kupika utasikia "mo" njoo

California love
 
Na Ukaanza kumla beki tatu Ausio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom