Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wanakumbushia namna walivyopata kid
 
Wakuu hakna kitu kibaya kama kuoa mtu aliyezalishwa na jamaa mwingine..kibaya zaidi jamaa mwenyewe bado tupo hai ...hakika mwisho wake ni visasi na mauti ....Ma single mother siyo wa kuoa ni kupiga na kusepa .
Daaa mkuuu nashindwa comment chochte maana mm Dada angu tumbo moja ni single mother,na sisters zangu kwa mzee mdogo ni single mothers pia,
 
Kaka yako ndio anamlisha mwanamke wake na mwanae na baba wa huyo mtoto.

Ni kama wamepanga pesa inaingia wao wanaendelea kuwa pamoja

Mwanamke hampendi kaka yako
mwambie asonge mbele.. anachumwa tu

Akiacha kumpa peea atajua rangi yake ya ukweli..
Mwanamke kamshika haswa kaka yako hafi haendi kwake kisa yule yupo.. duh.. hapendwi

Asake mwanamke mwingine alipo aanze maisha mapya
 
Wanaume kama huyo kaka yako wanatia aibu wanaume wa dunia nzima. Nina wasiwasi na huo uanumume wake !!
 
Bro kwanza huyu ni wew au kaka ako mbona umeandika kama story ni yakooo
 
Haina tofauti na kupanda miwa au viazi vitamu eneo la shule.
 
Kwanza nianze kwa kusema siko biased kwa binadamu yeyote na wote wapasa kupewa fursa sawa ila kwa suala hili aise never date or marry single mothers. NO EXCEPTIONS. Sijawahi kudate na wala sitakuja.

1. Kwanza tu tayari ni used out, you deserve better.
2. Wamepitia maumivu sana na mamekua sugu, mda wowote yupo tayari kuvunja uhusiano.
3. Wanachuki dhidi ya wanaume waliowazalisha na kuwa dump. Subconciously wanachukia wanaume wote.
4. Kubali usikubali hawezi kua mwaminifu kwako, baba wa mtoto akitaka anakula tena kavu.
5. Atakuumiza tu hebu fikiria karuhusu kuachana na mwanaume tena waliopendanda ujanani vipi kuhusu wewe.
 
Ndio maana ukienda kuomba kazi wanataka mwenye UZOEFU, sasa hawa ma singo maza Uzuri wao wanaUZOEFU sana nakuambia hutajuta, kwanza anaogopa kuonekana kua ndio maana aliachwa yeye n mbaya, pili hua anajitahidi sana kuvumlia maana anajua mengi kwenye tasnia hiyo
 
Usidanganye watu,matatizo waliyopitia ni darasa tosha kwao.Hao unused(sealed) sijui kama wapo kwanza anaweza kuwa hajazaa lakini katoa kama 10 bora yupi???
BTW wewe hugegedi?? je huna mbegu kuwapa ujauzito?? kama jibu ni ndiyo basi SINGLE MOTHER anakuhusu 100%
 
Mnapowaita hawa watu single mother, kuna watu wenye mother zaidi ya mmoja? Yaani kuna double mother, triple mother etc?

Sasa katika hizo tabia ulizozitaja, ni ipi ambao hawana watoto hawana mkuu? Haya mambo ni tabia ya mtu, kuwa na mtoto sio kigezo.

Tena kwangu iko tofauti sana, mtu mwenye mtoto nampa heshima kubwa hasa waliopata ujauzito bila kuwa kwenye ndoa wakiwa na migogoro au kukataliwa, kumbuka wangekuwa na uamuzi wa kutoa mimba, lakini wameona bora wachukue jukumu la kuwa na mtoto japo sio kitu rahisi kama tunavyofikiria, wengi hutoa mimba sema hakuna kipimo cha kuonyesha ni mimba ngapi.

Wewe kama ni mtakatifu na mkamilifu sana, tafuta wakufanana na wewe.
 
Umeandika kwa chuki sana,siku yakimkuta dada yako na wewe ndio uwe msaada kwake,nadhani utaelewa maana ya ujinga uliouandika hapa,kwahiyo akiwa hana mtoto/watoto ndio hawezi kutafunwa ukimuoa?kutafunwa ni tabia ya mtu,au uzembe wa mumewe kutokumridhisha mkewe,either kwa wingi wa majukumu yake katika utafutaji,au na msongo wa mawazo kutokana na ugumu wa maisha,au ugonjwa n.k,na je? unayajua mazingira au sababu ya huyo mwanamke kuwa single mama?
mkuu umekurupuka,nina mashaka na umri wako,lkn pia nina mashaka na akili yako...don`t be rude!
 
Mkuu umemaliza
Kunywa soda kwa Mange
Inaonyesha mtoa mada kakataliwa na single mother
Aangalie asije pata presha akaanguka na kabla hajafikishwa hospitalini anakufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…