Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Hahahahah..! Mdanganye mwenzio mechi inaaanza mwenzio tayari anagori la mezani( moja bila nani akubali dhuluma hii)

Napenda sana watoto mkuu kwaiyo hapa nafuraha tayari ninaye mmoja ntamlea kama mwanangu sitegemei chochote kutoka kwake haaahaaaaa
 
Babu eee
Babu: ndio mjukuu wangu, habari za mjini?
Mimi: nzuri babu tumekuja watembelea msimu wa sikukuu babu

Babu: vizuri mjukuu wangu vipi lakini ushapata mchumba

Mimi: ndio babu lakini?
Babu: Lakini ya nini tena mjukuu wangu

Mimi: mchumba wangu ana mtoto mmoja babu nataka kumuacha babu

Babu: ooh ana mtoto je? Baba wa mtoto yupo?
Mimi: ndio babu tupo pale pale mjini

Babu: sawa sawa je uyo mtoto wa kike au kiume?

Mimi: mtoto wa kiume babu

Babu: sawa je mnapendana?

Mimi: ndio babu tunapendana sana

Babu: sawa mjukuu wangu sasa nikuambie kitu kama mwenzako ana mtoto wa kiume wewe huna mtoto yoyote nakushauri anza kutafuta mchumba mwingine, endapo mchumba wako angekuwa na mtoto wa kike mmoja na kama ulivyosema mnapendana basi ningesema kamuoe hamna shida ila kama ana mtoto wa kiume usioe

Mimi: kwanini babu?

Babu: ukioa mwanamke ambaye tayali ana mtoto wa kike hakuna tatizo maana watoto wa kike hawanaga shida hata ukimlea yeye na baba yake akiwepo atakuheshimu kama baba na akikuwa atakutunza na hawezi kugombana na mwenzake ambao utazaa na mama yao kumbuka mtoto wa kike ni mtawaliwa si mtawala hivyo basi ndoa yako haitakuwa na changamoto yoyote ile ya kimalezi sababu dada yao atawapenda wadogo zake na kuhisi wao ni wamoja japo baba tofauti lakini mtoto wa kiume ukimlea akianza kukua na akatambua wewe si baba yake ataanza msuguano na wenzake kwani atajiona yeye ndie mkubwa hivyo Mali nk cha pale kwako atajiona ni chake na ana mamlaka nacho jambo ambalo watoto wako hawawezi kukubali hata ukiwaeleza kuwa wawe na busara walimwengu watawafitinisha tu hivyo basi msuguano huu mama huingilia na kuwa upande wa mtoto wake ambaye yupo peke yake hapo ndio balaa utokea, haya mambo tumekuwa tunayaona wewe Fanya uchunguzi familia unazozijua hapo ulipo utaona watoto wa nje was kiume huwa wasumbufu tofauti na wa kike

Jamani huu ndio ujumbe kanipa babu mda huo uku jijini kwetu watalamu wa mambo je kuna ukweli wowote?
 
doh!
pole zako
 
Wanawake wenye akili timamu nao wasiwe wanakubali kuolewa wala kuhusiana na single fathers pia. Single fathers (wengi sio wote)wanayo potential ya kuzidi kuongeza watoto bila kujali kuhusu kusettle.

Kuna katabia ka kushambulia wanawake walioamua kuzaa watoto kabla ya kuolewa kana kwamba walijibebesha wenyewe hizo mimba.

Mtu aseme, mimi siwezi kuoa single mother acha kujumuisha wanaume wote; mambo ya mapenzi hayana kanuni bayana.

Haya na wale walioolewa na wakazaa na waume zao wakafariki wakiwa na miaka 24,27,32,35?πŸ€·πŸ½β€β™‚οΈ tuwaweke fungu lipi?

Mapenzi yaone hivi hivi kwenye movie, nguvu yake inatisha baba.

N.B: Wanawake; ni wajibu wenu kufahamu vizuri mizunguko yenu ya hedhi. Mtoto sio jukumu jepesi.
 

Aisee pole sana kaka. Mwanamke hapo ni wa kulaumiwa kwa kukosa msimamo na mapenzi ya dhati
 
Wanaoowa wanawake waliozalishwa tayari huwa mnafikiria nini lakini mbona nikinyaa sana kwangu?
.
Au ndio ile kauli mbiu ya kipumbavu ya kipendacho roho hula nyama mbichi mnaifuata?
Kwa mwanamume kuwa na mtoto haina shida kwa sababu haingiliwi, mwanamke hata akikusaliti nashauri usimtake tena hatoacha huyo.
 
Kuoa single mother ni sawa na kununua kiwanja bila kupewa hati.Wanaume wenzangu nawashauri usije ukavuta bangi ukajichanganya ukaoa single mother...Labda awe mwanamke mjane lakini sio single mother.Mwanamke umemkuta sio bikra,hapo hapo tena hata bikra ya kumpeleka labour nayo Tena unakuta haipo ahgggggg!!!!

Umefanya dhambi gani kubwa isiyosamehewa mpaka ukaoe single mother???

Kama ulikosea 2018 anza 2019 upya,Tukutane next year.Pablo a.k.a Don,a.k.a Drug dealer,Ova!! Mapovu ruksa!!
 

Attachments

  • 0040093021c9f664defe6c4591fd3db88a7a5abearc614x376w614us1.jpeg
    15.8 KB · Views: 28
Ungetoa sababu.. na mifano ku support ushauri wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…