sheremaya
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 3,334
- 7,651
Ndiyo nilikuwa nataka kumfanya awe mke lakini ndugu yangu dah! Yaani hayo mambo yalikuwa yananivuruga mpaka kazini.
Pole sana mkuu mimi wa kwangu hana mawasiliano na mzazi mwenzie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo nilikuwa nataka kumfanya awe mke lakini ndugu yangu dah! Yaani hayo mambo yalikuwa yananivuruga mpaka kazini.
Hahahahah..! Mdanganye mwenzio mechi inaaanza mwenzio tayari anagori la mezani( moja bila nani akubali dhuluma hii)
Usijali Mr wako apitii huu Uzi atakuoa tu japo una mtoto wa kiume, hapa tunaitaji kujua je babu yupo sahihi au ukale umemtawala.ulimwambia babu kuwa uta-post maongezi yenu.?
angalia, babu atakuona una tabia za kike.!
@mbege [emoji38][emoji38][emoji38]ulimwambia babu kuwa uta-post maongezi yenu.?
angalia, babu atakuona una tabia za kike.!
doh!Ila single mother aisee wana changamoto sana. Mimi nilipotezewa kwa muda mrefu alikuwa hana hata habari na mimi. Nikaona its OK kwa sababu maisha ni yake na maamuzi ni yake. Baada ya miaka kupita nikakutana naye tena. Nipo cool tu na kila mtu na wala sina chuki, akaniletea tena mazoea na hatimaye akanitongoza na kuniambia ananipenda kwa dhati.
Kidume nikaona huyu binti aje mbona imekuwa kwa ghafla hivyo. Baadae kuja kugundua kumbe tayari ameshazalishwa na mshikaji ambaye alimfanya hawezi kunifikiria mimi. Nikajifikiria nikasema huyu binti ananifanya Mimi ni mjinga(?)
Akatoa samahani nyingi na machozi ya hapa na pale na ahadi lukuki kwamba atakuwa muaminifu kwangu. Nikaona siyo mbaya nitabeba majukumu. Kwa ghafla jamaa aliyemzalisha akasema anataka arudi wayamalize kwa wazazi, naye anataka kumlea na kumuona mtoto wake. Drama zikaendelea mwisho wa siku nami nikawa miongoni mwa hiyo drama yao. Baadaye hizo issue na jamaa yake mara Maza wa jamaa aliyemzalisha anapiga simu kuhusu mjukuu wake. Nikaona daaaamn! Jamaa mara anamsumbua binti anampigia pigia simu anatumia kigezo mtoto wake. Mara mama wa huyo mshikaji anataka kumuona mjukuu.
Nikamwambia mama lengo langu na ahadi zangu zilikuwa na nia njema lakini hii hali kadri inavyozidi kwenda inaniumiza sana. Hii drama nayo inaonekana ni endelevu na moyo wangu sidhani kama utakuwa na uwezo wa kuvumulia hiyo mikiki. Nikamwambia tuachane. Alining'ang'ania sana, binafsi nikamwambia siwezi.
Tangu niachane naye mpaka sasa hivi yapata ni miezi 7. Nilimpenda lakini hiyo mikiki yake kiukweli hapana. Ila yeye mpaka sasa hivi ananipigia simu na kunitumia msg. Sijibu chochote katika hivyo na wala sijam' block.
Ila single mother aisee wana changamoto sana. Mimi nilipotezewa kwa muda mrefu alikuwa hana hata habari na mimi. Nikaona its OK kwa sababu maisha ni yake na maamuzi ni yake. Baada ya miaka kupita nikakutana naye tena. Nipo cool tu na kila mtu na wala sina chuki, akaniletea tena mazoea na hatimaye akanitongoza na kuniambia ananipenda kwa dhati.
Kidume nikaona huyu binti aje mbona imekuwa kwa ghafla hivyo. Baadae kuja kugundua kumbe tayari ameshazalishwa na mshikaji ambaye alimfanya hawezi kunifikiria mimi. Nikajifikiria nikasema huyu binti ananifanya Mimi ni mjinga(?)
Akatoa samahani nyingi na machozi ya hapa na pale na ahadi lukuki kwamba atakuwa muaminifu kwangu. Nikaona siyo mbaya nitabeba majukumu. Kwa ghafla jamaa aliyemzalisha akasema anataka arudi wayamalize kwa wazazi, naye anataka kumlea na kumuona mtoto wake. Drama zikaendelea mwisho wa siku nami nikawa miongoni mwa hiyo drama yao. Baadaye hizo issue na jamaa yake mara Maza wa jamaa aliyemzalisha anapiga simu kuhusu mjukuu wake. Nikaona daaaamn! Jamaa mara anamsumbua binti anampigia pigia simu anatumia kigezo mtoto wake. Mara mama wa huyo mshikaji anataka kumuona mjukuu.
Nikamwambia mama lengo langu na ahadi zangu zilikuwa na nia njema lakini hii hali kadri inavyozidi kwenda inaniumiza sana. Hii drama nayo inaonekana ni endelevu na moyo wangu sidhani kama utakuwa na uwezo wa kuvumulia hiyo mikiki. Nikamwambia tuachane. Alining'ang'ania sana, binafsi nikamwambia siwezi.
Tangu niachane naye mpaka sasa hivi yapata ni miezi 7. Nilimpenda lakini hiyo mikiki yake kiukweli hapana. Ila yeye mpaka sasa hivi ananipigia simu na kunitumia msg. Sijibu chochote katika hivyo na wala sijam' block.
😁😁😁😁@mbege [emoji38][emoji38][emoji38]
Ungetoa sababu.. na mifano ku support ushauri wako.Kuoa single mother ni sawa na kununua kiwanja bila kupewa hati.Wanaume wenzangu nawashauri usije ukavuta bangi ukajichanganya ukaoa single mother...Labda awe mwanamke mjane lakini sio single mother.Kama ulikosea 2018 anza 2019 upya,Tukutane next year.Pablo a.k.a Don,a.k.a Drug dealer,Ova!! Mapovu ruksa!!