miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
HayaSamehe
No. Alikuwa anafanya utafiti kwa maslahi mapana ya Men community. Msamehe.Kwa hiyo mkuu we umeenda kujifanya unawapenda kumbe unachezea hisia zao tabia mbaya sijapenda
Sawa nkuuNo. Alikuwa anafanya utafiti kwa maslahi mapana ya Men community. Msamehe.
Hahahaajahahh hata Mimi sijapendaKwa hiyo mkuu we umeenda kujifanya unawapenda kumbe unachezea hisia zao tabia mbaya sijapenda
AjirekebisheHahahaajahahh hata Mimi sijapenda
,nimefanya kwa single mothers wengi,wengine nilikuwa sina hisia nao lakini nilitak tu kupima kama hip mbinu inafanya kazi,it works perfect,
Kula like 100. Jamaa anafanya mchezo na hisia za watu huyu.Kwa hiyo mkuu we umeenda kujifanya unawapenda kumbe unachezea hisia zao tabia mbaya sijapenda
Kuzaa baba tofauti kwa mwanamke si kuwa hajatulia ila huwezi jua ni masahibu gani yalimkuta, ikawa hivyo. Wengine wanakuwa wametulia.Mwenye watoto 3 anaonesha kutulia zaidi. Mengine fanya maamuzi mwrnyewe... Hatuwafahamu hao watu kama unavyowafahamu