Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Sinyora ile ya kispaniola or ni just jina tuuu
 
Mkuu unamoyo sana,yani alikuacha then akarudi tena na bado ukaendelea kumpenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu namuoneo huruma bint huyo.

Na wew nawe unaonekana ulikua lover boy tu, hujui hata unaowa lini...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
You're foolish, Quran inaelekeza waislamu waoe wanawake bikra,then hiyo Aya unatafsiri Kama unavyotaka wewe,Basi kachukue mashoga maana wanaweza wakawa na faida katika Maisha yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Nlikuomba msamaha ili tusibishane, ili usinilazimishe niandike mambo ambayo yatakuadhirisha mbele ya wana JF (walio comment katika uzi wako huu), ila haukutaka kunisikiliza, na ukaamua kunitukana nakuniita FOOLISH.

Sikutaka kuandika chochote zaidi, ila umenilazimisha.

Nakupa mfano hai mmoja tu, kwanza, huku nikusubiri "Upapatuke zaidi/Ujikanyage zaidi /Udanganye zaidi".[emoji52] [emoji53] [emoji18]

*** Sawda bint Zam'a (Aliekua mke wa mtume Muhammad S.A). Alikua miongoni mwa wanawake wa kwanza aliehama kwenda/kutoka Abyssinia (Ethiopia) kwa njia ya mwenyezi mungu. Na alikua miongoni mwa wacha-mungu wazuri sana (Mengine anajua mungu zaidi).

Mume wake wa kwanza alikua akiitwa "As-Sakran ibn Amr" aliezaa nae mtoto mmoja wa kiume (akiitwa "Abdur Rahman ibn Sakran"). Sawda livyofiwa na mume wake, baada ya muda ndio Mtume Muhammad S.A alipomuoa na akawa mke wake.

Kwa kauli hio yako uliosema,

*** Je, Mtume Muhammad S.A alienda kinyume na maandiko (Hayo unayosema yapo katika Qur'an, ambayo WEWE PEKE YAKO ndio unayoyajua) kwa kuoa SINGLE MOTHER (Mwanamke mwenye mtoto)????

*** Je, aliofanya Mtume Muhammad S.A sio mifano ya kuigwa na waislam dunia nzima???

*** Je, unajua sababu ya kuruhusiwa na baraka zake kwa kuoa SINGLE MOTHERS/DIVORCED/WIDOWS??? (Kwaajili ya kuwastiri wasiteseke, wasiadhirike, wapate utulivu, wasipotee njia kwa kushawishiwa, na mengine mengi).

Sikushauri uijibu hii comment yangu (hayo majibu baki nayo moyoni kwako), ukitaka tuendelee kubishana utasababisha nifunguke nisiotaka kusema.

### Swala la mimi au wewe kua MPUMBAVU, tuwaachie wana JF humu wataamua.
 
Mwanaume rijali mwenye akili timamu hawezi kuoa single mother,hao wanaowaoa single mother ni wavulana tu ambao hawana upeo wa mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Una lugha ngumu sana brother.
Bila shaka utakuwa unafanana sana na mshua wako. Hongera sana.

Ni kisa cha kweli.
Jirani yangu ana watoto kabla ya ndoa wawili wa kike, kila mmoja na mama yake. Akaoa mke mwingine, amezaa nae watoto watatu, wakiume wawili na wakike mmoja.
Mama aliwakataa kuishi na watoto wakufikia, baba akakomaa kibishi bishi japo watoto walikuwa wanapigwa na baba kwa makosa yasiyo eleweka kumridhisha mke. Wale watoto wameajiriwa, ila wamepigwa marufuku kukanyaga nyumbani na mama yao wa kambo.

Mwezi uliopita siri imefichuka, mtoto wa kwanza wa kiume na wa pili wa kike sio watoto wa kwenye ndoa, mama amewajengea watoto wake nyumba mbili kwa siri. Mume amesha jua kila kitu, amehama nyumbani.

Je, una uhakika uliye nae ni baba yako? Vipi mama yako akakuonyesha baba mwingine tofauti na huyo, hautawasifia masingo maza kuwa wana akili? Maana utakuwa umelelewa na mtu ambaye sio baba yako.
Tuwaheshimu wanawake kwa nafasi zao. Ni magumu mengi wanayapitia.

Itapendeza zaidi ikiwa haujawahi kulala na binti yeyote,unasubiria siku ukioa binti bikra na wewe bikra, siku mkikutana mtakuwa mna bikiriana tu.
Shwaini zako...
 
Mapovu mengi sana humu ndani ila mimi naona wote mpo sawa, atakaye oa single mother au asiye na mtoto kutokana na yale aliyoyapitia ktk maisha. Kuna changamoto nyingine tena za kuumiza kwa single parent hasa wa kike wanakuwa wapo kwy dimbwi la mawazo.Mtu kama kakutana na mikiki ya kuoa single mother akaogopa mwacheni akatafute asiye na mtoto na msichana kutokuwa na mtoto sio kwamba hakuwahi shika mimba ila ni maamuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu tulivyokuwa wapenzi mpaka mwisho kubaki kuwa history sikuwahi kukutana naye kimwili. Hata kumshika chuchu sijawahi kumshika. Ijapokuwa yeye alikuwa anayataka hayo mazingira ila kwangu ilikuwa ni hapana.

Sina hulka ya kuchezea mabinti wa watu na sijakulia katika makuzi ya namna hiyo. Ijapokuwa nina mapungufu yangu ila hicho kitendo kwangu kabla ya ndoa ni dhambi.
Mkuu namuoneo huruma bint huyo.

Na wew nawe unaonekana ulikua lover boy tu, hujui hata unaowa lini...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mpumbavu aliyekufa kibogoyo,aliyekuwa hajui kusoma wala kuandika huwa anasikilizwa na vilaza wenzake Kama wewe,kwa hiyo unaoa single mother kisa Mohammed alioa single mother, Foolish, Stupid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo mfano hau- relate na mada tunayoongelea , Foolish,darasa la saba ulifaulu kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimesema sioi single mother Sasa nashangaa watu wananitolea mapovu, wanataka kunipangia mwanamke wa kuoa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], Foolish Sana hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimesema sioi single mother Sasa nashangaa watu wananitolea mapovu, wanataka kunipangia mwanamke wa kuoa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], Foolish Sana hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi kaa na msimamo wako maana hii wanataka kuweka ruksa na kufanya wasichana wengi wawe single mother kbda ya kuolewa tena wanatetea wakisema bora hao kuliko aliyetoa mimba kuna uhakika gani huyo aliyezaa hakutoa hapo awali? Maisha ni maamuzi na hili swala la kulea mtoto peke ako linaathiri maisha ya mama hadi ya mtoto. Mimi ni mtoto wa single parent najua athari zake.
Hitimisho
Wale single parent endeleeni kulea watoto maana ni zawadi kutoka kwa MUNGU tena watoto hao huwa wanakuja kuwa baraka sana ktk jamii na wale mnaowaona hawajazaa mnajua walitoa sana tulieni muombe MUNGU awape waume ili muache kudanga. Haya yote yanatokea baada ya kuvunja amri (kuzini)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza kila kitu kaka mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jee! kuhusu zile tafiti ambazo zimefanywa na idara ya ustawi wa jamii [kwenye ndoa zenye matatizo] zinazoonyesha kuwa karibu asilimia 40 ya watoto kwenye ndoa hizo siyo wa baba halisi?
Jee hao wamama walioenda kando wakiwa ndoani ni wa single mother?
Jee hao wanaume siyo marijali?
Waswahili wanasema 'usiseme yote mengine bakiza kwani hujui kesho yako'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…