You're foolish, Quran inaelekeza waislamu waoe wanawake bikra,then hiyo Aya unatafsiri Kama unavyotaka wewe,Basi kachukue mashoga maana wanaweza wakawa na faida katika Maisha yako
Sent using
Jamii Forums mobile app
Nlikuomba msamaha ili tusibishane, ili usinilazimishe niandike mambo ambayo yatakuadhirisha mbele ya wana JF (walio comment katika uzi wako huu), ila haukutaka kunisikiliza, na ukaamua kunitukana nakuniita FOOLISH.
Sikutaka kuandika chochote zaidi, ila umenilazimisha.
Nakupa mfano hai mmoja tu, kwanza, huku nikusubiri "Upapatuke zaidi/Ujikanyage zaidi /Udanganye zaidi".[emoji52] [emoji53] [emoji18]
*** Sawda bint Zam'a (Aliekua mke wa mtume Muhammad S.A). Alikua miongoni mwa wanawake wa kwanza aliehama kwenda/kutoka Abyssinia (Ethiopia) kwa njia ya mwenyezi mungu. Na alikua miongoni mwa wacha-mungu wazuri sana (Mengine anajua mungu zaidi).
Mume wake wa kwanza alikua akiitwa "As-Sakran ibn Amr" aliezaa nae mtoto mmoja wa kiume (akiitwa "Abdur Rahman ibn Sakran"). Sawda livyofiwa na mume wake, baada ya muda ndio Mtume Muhammad S.A alipomuoa na akawa mke wake.
Kwa kauli hio yako uliosema,
*** Je, Mtume Muhammad S.A alienda kinyume na maandiko (Hayo unayosema yapo katika Qur'an, ambayo WEWE PEKE YAKO ndio unayoyajua) kwa kuoa SINGLE MOTHER (Mwanamke mwenye mtoto)????
*** Je, aliofanya Mtume Muhammad S.A sio mifano ya kuigwa na waislam dunia nzima???
*** Je, unajua sababu ya kuruhusiwa na baraka zake kwa kuoa SINGLE MOTHERS/DIVORCED/WIDOWS??? (Kwaajili ya kuwastiri wasiteseke, wasiadhirike, wapate utulivu, wasipotee njia kwa kushawishiwa, na mengine mengi).
Sikushauri uijibu hii comment yangu (hayo majibu baki nayo moyoni kwako), ukitaka tuendelee kubishana utasababisha nifunguke nisiotaka kusema.
### Swala la mimi au wewe kua MPUMBAVU, tuwaachie wana JF humu wataamua.