Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Yaani uanze kupambana na mwanaume mwenzio kisa mwanamke aliyeamua kuyachanganya mwenyewe?
Kwanza jamaa alimvumilia Sana huyo dada

Sent using Jamii Forums mobile app


Mwanaume anapambana na mwanaume mwenzake asa utaoambanaje na mwanamke??huoni kama nimmatumizi mabaya ya uanau!e..

Hujiulizwi kwanini watu wakifumaniwa mwanaume anapewa zawadi ya kutolewa marinda kwanini asitolewe mwanamke?
 

Uko sahihi kamanda. Yaani wakishabugi kinachofuata wanatafuta soft landing yeyote atakaeingia kwenye 12 anakubaliwa kwa vigezo vichache sana .
 
Do not be Wise in your own eyes.
Happy 2019 everyone.
judge less.
 
Hivi mwanao akibakwa then akapimwa akagundulika kapata ujauzito utamruhusu alee ujauzito wa mbakaji?
Kuna taratibu za kitabibu, msichana atapewa vidonge vya kuzuia mimba na hata maambukizi ya Ukimwi. Huyo akiamua kuzaa amejitakia tu
 
Naona hofu inataka kujengwa juu wanawake waogope kuzaa Bila ndoa , na hi itapelekeaa mimba nyingi kutolewa
Hii itawaokolea ndoto zao za kuolewa. Akizalishwa akaolewa soko lake linashuka mno
 
no hakuna shida wala matatizo ya kudate singo maza,almuradi ufahamu kuwa ana watoto,ambao wana umuhimu kwake na kwa taifa,ujiadjust kwa ukweli huo kwa kumpa sapoti ya muda na raslimali fedha,aweze kuhudumia watoto wake ambayo ni kazi ya kizalendo pia kwani watoto hao wana umuhimu wake kwake,na kwa taifa
Ni lazima ua he ubinafsi unapodeti na wsnawake wa aina hii na pia kwa kumsapoti unamuweka kwenye right frame of mind ya kungonoka na wewe kama lote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…