Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

no hakuna shida wala matatizo ya kudate singo maza,almuradi ufahamu kuwa ana watoto,ambao wana umuhimu kwake na kwa taifa,ujiadjust kwa ukweli huo kwa kumpa sapoti ya muda na raslimali fedha,aweze kuhudumia watoto wake ambayo ni kazi ya kizalendo pia kwani watoto hao wana umuhimu wake kwake,na kwa taifa
Ni lazima ua he ubinafsi unapodeti na wsnawake wa aina hii na pia kwa kumsapoti unamuweka kwenye right frame of mind ya kungonoka na wewe kama lote

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu ushajaribu kudate nao?
 
Yamekukuta chezea weye, nakushauri usidate na mwanamke ambaye ameshazaa hafu hana shughuli ya kufanya utageuzwa kuwa baba mzazi wa mtoto
Aisee kudate single mother inahitaji uwe na roho ya chuma kweli kweli.

Wamejaa lawama, gubu za kiwango cha juu, hawana Jema kabisa. Kila kitu mtoto wangu mtoto wangu. And always hawana shukrani. [emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji3525]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kudate single mother inahitaji uwe na roho ya chuma kweli kweli.

Wamejaa lawama, gubu za kiwango cha juu, hawana Jema kabisa. Kila kitu mtoto wangu mtoto wangu. And always hawana shukrani. [emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji3525]
Tupa kule akamletee gubu aliemzalisha

#bamia_ndefunene
 
Hivi tafsiri halisi ya 'single mothers' ni waliozaa nje ya ndoa hata kama baba kakubali au ambao wana watoto waliokataliwa na baba?
 
Back
Top Bottom