Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mkuu ushajaribu kudate nao?
 
Yamekukuta chezea weye, nakushauri usidate na mwanamke ambaye ameshazaa hafu hana shughuli ya kufanya utageuzwa kuwa baba mzazi wa mtoto
Aisee kudate single mother inahitaji uwe na roho ya chuma kweli kweli.

Wamejaa lawama, gubu za kiwango cha juu, hawana Jema kabisa. Kila kitu mtoto wangu mtoto wangu. And always hawana shukrani. [emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji3525]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kudate single mother inahitaji uwe na roho ya chuma kweli kweli.

Wamejaa lawama, gubu za kiwango cha juu, hawana Jema kabisa. Kila kitu mtoto wangu mtoto wangu. And always hawana shukrani. [emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji3525]
Tupa kule akamletee gubu aliemzalisha

#bamia_ndefunene
 
Hivi tafsiri halisi ya 'single mothers' ni waliozaa nje ya ndoa hata kama baba kakubali au ambao wana watoto waliokataliwa na baba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…