Mwambie atakuelewa zaidi madamu alimkataa na hamna mawacliano atakuelewa uctumie uongo uta KU cost
We mpumbavu umejua kunichekesha sanaHivi unaweza ukaomba upewe mke mwema afu ukapewa single mother??? Naomba jibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Simamia msimamo wako mkuu... Hao hawafai hata kidogo!!Ukitaka kuoa oa mwanamke ambaye anaufurahisha moyo wako
Kwamfano Kuna watu hawapend wanawake weupe Sasa utamlazmishaje mtu Kama huyo aoe cheupe? Kila mtu afanye kitu ambacho roho yake itampendeza
Ila mm single mother no Tena big no...
Msimamo wangu sio wako
Mkuu mm single mother siwez kuoa hata nipigwe nyundo ya mkononiSimamia msimamo wako mkuu... Hao hawafai hata kidogo!!
Hata wewe sio rijali. Rijali gani unachamba mange haoni ndaniHabari zenu.
Nasema hivi. Mwanaume yeyote rijali hawezi kuoa mwanamke single mother. Ninaposema single mother namaanisha wewe mwanamke uliyezaa kabla ya kuolewa.
Na ninaposema rijali namaanisha mwanaume mwenye akili sawa sawa au bara bara anayefikiri kwa usahihi asiyeendeshwa na mihemko bali hutumia akili yake kutafakari mambo. Hii ina maana mwanaume chizi au mwenye ugonjwa wa akili sio rijali. Ili uwe rijali ni lazima uwe na akili timilifu. Ushahidi ni kwamba mwanaume hanithi anapungukiwa pia akili. (Sitaki kulizungumzia hili) na ukishapungukiwa akili wewe sio rijali.
Ukweli ni kwamba mama zetu ( sisi wanaume) wanafurahi zaidi kama utampa taarifa kuwa unamuowa bint ambaye hajawahi kuzaa. Achilia mbali bikra ambayo hata hivyo wanatamani uwaambie unamuowa bikra. Ni heri uwaambie unamuowa bint uliyezaa naye wewe mwenyewe mtoto wake wa kwanza kuliko kuwaambia wamama eti....eti...unamuowa Lilian single mother!!! Nyoyo husononeka ingawa hawawezi kusema wazi wazi. Utasikia tu mama akisema "Kama umempenda na mnapendana sawa" Tafakari sana haya maneno kijana unayetaka kumuowa single mother.
Ni uzembe wa hali juu sana kuzaa kabla ya ndoa. Ni mwanamke ndiye unayeamua ushike mimba au usishike. Sisi wanaume huwa tunatandika tu.....sasa kama you don't take care about yourself....who else will? Halafu unamlaumu mwanaume kakutia mimba na hajakuowa.
Asikulaghai kwa maneno matamu yoyote yale eti beba mimba kabla hajakuowa. Usikubali. Na mwisho wa siku uamuzi unao wewe wa kubeba mimba au lah. Sasa mnakwama wapi? Be smart.
"Asiponioa ntalea mwenyewe!" Huo ni uzembe.....tunajua mna vipato vyenu....mna pesa zenu, mnayamudu maisha....mnaweza kulea watoto wenu. Nikuulize, hivi kuna raha gani kulea mtoto peke yako? Mnapojitosheleza kiuchumi na kijamii (kutokuwa single mother), machaguo yanaongezeka. Hamuoni? Basi someni. Baadaye mnasema kuolewa bahati. Kuolewa sio bahati. Kuolewa mna haki wala msiite bahati....we unadhani wanangu mi ntalea na nani? R.I.P Ngwea
Jamaa akuzalishe huko halafu mi nije nikuoe? Acheni masihara nyie. Mi hakuna niliyemzalisha bila ndoa nikampiga chini sina sababu ya kuowa single mother.
Na wewe single mother uliyekaa chini ukaona ulikosea wapi na sasa umekuwa RAIA mwema, good luck. Ukimpata anayeeleweka mwambie akuoe. Kijana haukatazwi kuoa single mother. Ukimpata oa......yajayo ni yako.
Hakuna mwanaume RIJALI anayeweza kuowa single mother, kwa sababu za kimaadili. Period.
Meraki
Ukweli ni kwamba mama zetu ( sisi wanaume) wanafurahi zaidi kama utampa taarifa kuwa unamuowa bint ambaye hajawahi kuzaa.
Sasa ukifanya hivyo wanawake ndo wanakuona gentlemanWanaume wengine wanalipa ada za Shule za watoto walokuta kwa single mothers!
Kama siyo kurogwa kitu gani?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati yangu mimi na wewe tuthibitishe nani ni mtoto wa first year. Maana naona una wazimu unaokuingia vibaya.
Kweli halafu hawa wavulana ni waoga wa maisha wanachokimbia sio single mother wanakimbia majukumu ni wakina uchebe hawa ila mi naona mwanamke ni mwanamke akikupenda mkapendana weka ndani watoto lea
Sent using tekino
Nenda kwa kuhani au shekhe wako muulize naomba sifa za mwanaume aliyelaaniwa. Then rudi uisome comment yako
Kweli kabisaaaaAisee kudate single mother inahitaji uwe na roho ya chuma kweli kweli.
Wamejaa lawama, gubu za kiwango cha juu, hawana Jema kabisa. Kila kitu mtoto wangu mtoto wangu. And always hawana shukrani. [emoji852]️[emoji852]️[emoji852]️[emoji852]️
HUYU HAPANna umri wa miaka 36. Natafuta single mother aliye na mtoto mmoja tu. Sababu ya kuwa single iwe ni baba mtoto wake kufariki ama alizalishwa bahati mbaya na mme wa mtu. Sifa zake
1.Age 20-28yrs.
2. Maji ya kunde ama mweupe.
3.Awe na elimu at least ya form four.
4.Awe na mawazo ya kufanya biashara.
5.Awe tayari kuishi Mwanza
6.Kabila lolote
7.Dini yeyote ila mimi ni mkisto na sipo tayari kubadili dini yangu
8.Asiwe mnene wala mwembamba sana. Awe na shape kiasi kwamba nkiwa nae nsiogope kumtambulisha kwa friend na ndugu.
9. Asiwe mtu wa kuendekeza starehe kupita kipato.
Mimi nafanya kazi inayonipatia kipato cha kulisha familia, naweza kusomesha n. k.
Sijaoa na wala sijabahatika kuwa na mtoto.
Swala la kupima HIV kwangu ni la msingi endapo atatokea ambaye tume match.