DuhhSingle mother wana mapenzi ya dhati sijapata kuona! Ukimjali tu ukampenda na mtoto wake, anakuachia kila kitu. Kiufupi anageuka kuwa mtumwa kwako.
Kuna mmoja nlikuwa na mahusiano nae, aisee! Yule mdada alinifeel sana, shida ikawa anapenda sana tuoane,
Kiukweli ningemuoa ila umri alikuwa amenizidi miaka 2,
Siku moja akaniambia nakuomba sana usioe kabla mm sijaolewa coz nitaumia sana nikaona unaoa huku mm nashuhudia. Kweli haikipita muda akapata jamaa wameoana. Nami nmeshaoa, lkn lile penzi la yule mdada hatari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app