Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wewe unaelalamika
0e702fdff6e6bbfee80b717ac6cd12f6.jpg


Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Mkuu messenger ina message 50??? Nomaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uzoefu wangu mwanamke wa kuoa au wa kuwa naye mahusiano ni 'Single Mother' ukionesha tu kumjali na mwanaye baaasi anakupa penzi lote. Anajua uchungu wa mpenzi na umuhimu wa mwanaume, hachezi kamwe. Tatizo LA wanaume ni kumpenda Mama na sio mtoto, hapo utajitesa bure, anza kumjali na kumthamini mtoto hata kama mama alikuwa hakupendi, atakupenda tuuuuu. , single mothers are golden ladies
Kumbuka unakuwa umeoa mke wa mtu hapoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
As long as hakukuficha ulipomtongoza basi ww ndo mwenye makosa maana kama hauna moyo wakumchukulia yule mtoto kama wako usitegemee mamake kukupa nafasi kwake kwa mwanamke mtoto anatangulia afu baba ndo anafuata hata kama ni baba mzazi wa mtoto wake,so kama ukitaka upata nafasi anza kupenda mtoto kwanza pengine kuliko hata yeye huwezi hivyo basi muepuke tu mwanamke wa hivyo maana waliozitoa hizo mimba wapo wengi pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kupenda mtoto ambaye Ni bao la mwanaume mwingine ngumu Sana in short kuoa single mother Ni kipaji Kama messi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U guys are so selfish jamaniiii!!!mnasahau pia kuna Ma single dad, kila siku ni single mama tuuu.. Why? First hukulazimishwa kudate nae!second kuna uwezekano mkubwa ata mama ako alikua single mom so stop insulting, tena siku hizi hao pure girls ndo wanasumbua sana kwenye ndoa,kuliko hata hao single mom ambao wameshaionja joto ya jiwe....

Sent using Jamii Forums mobile app
So kwasababu mtu mama ake Ni single mother so na yeye aoe single mother???? Umesoma Hadi darasa la ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kudate single mother inahitaji uwe na roho ya chuma kweli kweli.

Wamejaa lawama, gubu za kiwango cha juu, hawana Jema kabisa. Kila kitu mtoto wangu mtoto wangu. And always hawana shukrani. ☹️☹️☹️☹️
Huoni kuwa hizo lawama, gubu na mengine inatokana na maumivu ambayo sisi wanaume
tumemfanyia kwa kuweka ahadi za uongo, kumpamba kinafiki, na mengineyo mengi na baada ya kukidhi haja zetu tunasepa.
Hapa nani wa kulaumiwa? Mtenda au Mtendwa?
 
Acha kuhamisha goli kingese bhana,unakua Kama sio shoga??? Huo mfano wako Ni mfu na Wala haihusiani na maada,tusichoshana bwana Mimi bado sijala

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe siyo multidimensional thinker ingawa umekuwepo jamvini karibu miaka 4 sasa.
Mimi sipendi matusi maana ada ya mja ni maneno, muungwana ni vitendo.inaeleweka kuwa 'kwenye kundi la watu awapo mwanaharamu atajulikana kwa maneno yake tu'
 
Back
Top Bottom