Mwanamke na mwanaume wako tofauti nakuunga mkono lakini hakuna dhambi ya mwanamke wala mwanaume.Hivi ni lini mtakuja tambua mtoto wa kike na wa kiume ni tofauti ktk haya masuala? Sasa wewe mwambie binti yako amuige mtoto wa kiume uone jamii itamuita nani.
Hatuongelei dhambi hapo.Mwanamke na mwanaume wako tofauti nakuunga mkono lakini hakuna dhambi ya mwanamke wala mwanaume.
Tunakoelekea sio tulipo kwa sasa,sahiv bado wapo ambao usingle mother wanaona ni adhabu kubwa kwao ila tunakoelekea itazoeleka sana,kipindi nlipokuwa mdogo ilikuwa ni kitu cha kushangaza sana mwanamke kujifungua bila kuolewa yaani akishabeba mimba basi ataforce kuolewa na mara nyingi wanaolewa na wazee kabisa kama babu yake anachohitaji ni kuitwa mke wa fulani basi hahitaji hata mia ya mzee wawatu, akijifungulia nyumbani ni aibu kwa familia nzima kuanzia baba yake, mama na kaka zake yaani ni anatengwa ila kwa sasa nani anajali akishaweza kupambana na hali yake hakuna mtu anajali sana kihivyo labda tu akiwa hana uwezo wakulea kidogo anaweza kuvuta attention ya watuKanisani kwetu wanawake wana session yao wanaomba kupata waume, wengi wao single mothers.
Yawezekana dunia ya upande wa huko uliko.
Dhambi kama akihesabu Mungu wote wanakuwa sawa ila kwa upande wanadamu hawako sawa mwanamke akiwa na wanaume wengi ataitwa malaya tu lakin vp kwa upande wa wanaume?Mwanamke na mwanaume wako tofauti nakuunga mkono lakini hakuna dhambi ya mwanamke wala mwanaume.
Uwezekano wa binti yako kupata mimba na akajifungulia nyumbani kwako ni mkubwa.. cycle inazidi kuendelea maisha yako yatakuja kufanana na maisha ya kitukuu chako labda tu itokee azaliwe mtoto wa kiume anaweza akaleta mabadiliko.
Fungua macho yako.. Hii nimeshuudia sijaambiwa kuna bi mkubwa mmoja age kama 55 niliwanasa akiwa na mwanae age kama 28 wakiwa kwenye conversation binti alikuwa akimpa mrejesho juu ya dawa ya mvuto aliyoipata kwa mganga inavyofanya kazi namnukuu "yaani mama saa hivi nikitembea hatua hata kumi lazima niitwe".Hakunaga mama mzazi wa hivi!
Loh!Fungua macho yako.. Hii nimeshuudia sijaambiwa kuna bi mkubwa mmoja age kama 55 niliwanasa akiwa na mwanae age kama 28 wakiwa kwenye conversation binti alikuwa akimpa mrejesho juu ya dawa ya mvuto aliyoipata kwa mganga inavyofanya kazi namnukuu "yaani mama saa hivi nikitembea hatua hata kumi lazima niitwe".
Yupo. Na labda hujawahi zunguka hii nchi ukaona jamii zake zilivyo. Huenda kuwa sio direct anamfundisha.. ila someway anamuonesha kuwa ni right thing to do.. wkt ni wrong in many ways.
Wako wadada ambao kudanga kwao wanaona kama ni haki yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Boredom, tiredness, singlehood and loneliness ndio kinachoumiza wadada siku hizi, sio kujiweza kulea.Tunakoelekea sio tulipo kwa sasa,sahiv bado wapo ambao usingle mother wanaona ni adhabu kubwa kwao ila tunakoelekea itazoeleka sana,kipindi nlipokuwa mdogo ilikuwa ni kitu cha kushangaza sana mwanamke kujifungua bila kuolewa yaani akishabeba mimba basi ataforce kuolewa na mara nyingi wanaolewa na wazee kabisa kama babu yake anachohitaji ni kuitwa mke wa fulani basi hahitaji hata mia ya mzee wawatu, akijifungulia nyumbani ni aibu kwa familia nzima kuanzia baba yake, mama na kaka zake yaani ni anatengwa ila kwa sasa nani anajali akishaweza kupambana na hali yake hakuna mtu anajali sana kihivyo labda tu akiwa hana uwezo wakulea kidogo anaweza kuvuta attention ya watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndo inajishihirisha kuwa kiongozi na kichwa cha familia ni babaSingle mother wengi uwapa sana sumu watoto wao.Hata wakishaolewa huwa wameharibika kisaikolojia,uwepo wa baba ni muhimu hata Kama ni suruali
Hapo ndo inajishihirisha kuwa kiongozi na kichwa cha familia ni baba
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa kweli ni hatari sana , yaani ukitfuta mwadada mwenye maisha yaliyonyooka aliyelelewa na single maza utapata 1/100.Malezi ya mama. Mtoto anakuwa anaona hakuna baba. Kutokana na aliyopitia mama.. anamjengea picha chafu mwanae kuwa wanaume si wazuri. Guess what.. akikua anaendeleza cycle. Mpaka itakapotokea wamechange mawazo yao for good.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio baba anayejitambua analea watoto wake. Siyo kuwarushia ugali maharage na vimiambili miambili akadhani amelea watoto.Kah hivi baba Ana muda wakulea ???
baba hana ubaba unamanisha niniUwepo wa baba hata kama hana ubaba unabalance saikolojia ya watoto
haiwezi kuzoeleka mkuu, miaka dahali hata kwa wazungu haijazoeleka wanajaribu kuwa wahumilivu tu lakini haiko sawa. Kanuni ya Mungu haitabadilishwa na wanadamu kamwe, umejifanyaTunakoelekea sio tulipo kwa sasa,sahiv bado wapo ambao usingle mother wanaona ni adhabu kubwa kwao ila tunakoelekea itazoeleka sana,kipindi nlipokuwa mdogo ilikuwa ni kitu cha kushangaza sana mwanamke kujifungua bila kuolewa yaani akishabeba mimba basi ataforce kuolewa na mara nyingi wanaolewa na wazee kabisa kama babu yake anachohitaji ni kuitwa mke wa fulani basi hahitaji hata mia ya mzee wawatu, akijifungulia nyumbani ni aibu kwa familia nzima kuanzia baba yake, mama na kaka zake yaani ni anatengwa ila kwa sasa nani anajali akishaweza kupambana na hali yake hakuna mtu anajali sana kihivyo labda tu akiwa hana uwezo wakulea kidogo anaweza kuvuta attention ya watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa aseeeUwepo wa baba hata kama hana ubaba unabalance saikolojia ya watoto