Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Daah! Kumbe ndo walivo eeh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kucheza na hisia zake,huo ni unyanyasaji anaweza kujiua;nenda kamsikilize na msuluhishane maisha yaendelee.
 
Huna adabu aisee hivi baadhi ya wanawake huwa wanaokotea wapi takataka kama hizi aisee 😤😤
 
Tembelea kitengo cha UKIMWI Muhimbili kama siku tatu tofauti, atapata tu habari kama umeonekana huko, ndio itakuwa mwisho wa kukukera.
 
Kama umemshindwa hebu nitupie no yake PM nikomae naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…