Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ungekuwa mwanaume kamili usingeleta huu uzi!!

Mwanaume kamili hayumbishwi na nani atasemaje, nani atanichukuliaje when it comes to his decisions.

Ulipomtongoza mpaka hapo ulipofikia hukujua kama ni single mama?

So childish!
 
Habari zenu..
Niende moja kwa moja bila kupoteza muda mwenzenu nimepata mke wa kuoa ila huyu mwanamke ni single mother...ninachokifikilia ninaanza vipi kumtambulisha nyumbani kwetu Kwa wazazi?
Kuhusu baba nitampiga kiswahili ataelewa mziki uko kwa mama yangu nitamueleza vipi ili anielewe kuwa naingia mchezoni na mchezo ukiwa ni moja bila ?
Vipi kuhusu ndugu zangu nitawaelezaje kuwa naanza mechi mchezo ukiwa ni moja bila badala ya bila bila!!!
Je hawatapasha kiporo na mzazi mwenzake akija kumuona mwanae au akimpelekea mwanae amuone?
Kwa wanaotarajia kuingia kwenye mdoa kama hii au mliongia kwenye ndoa za moja bila au mbili bila naombeni mnipe ushauri kijana mwenzenu nichukue na mimi jiko niache kula kwa mama ntilie.
wew unatoka shimoni unaenda kaburin aiseee
 
Kama huyo demu ni mfuasi wa chadema piga chini
Wewe ni mjinga sana,kama Chadema waliahidi watakuoa basi utulie siku ukiwadia watakuvisha shela...nimekuona tangu muda mrefu sana;watu wanahuzunika kwa habar ya kutekwa Mdude Nyagali lkn wewe unaifurahia sana habar hiyo

Wakati mwingine uwe unajaribu kuvaa uhusika kwenye personal issues za watu uone jinsi inavyokuwa!
 
Nduguzo wakikomaa sana waambie ni double mother, maana hawamtaki single mother.
 
Lazima jamaa atapasha kiporo ww unahudumia mwanzako anatomba kilaini
Utaskia leo mchana wakati haupo baba juma kaja kumuangalia mwane bassi tambua keshatafunwa hivyo wanawake dhaifu sana
 
Muoe mkuu maisha bila changamoto hayanogi oa moto huo utakufanya akili ichangamke ha ha ha ha ha ha
 
Unaoa kwa ajili yako au kwa ajili ya ukoo wako? Ukipatia hilo jibu basi ndio fuata mojawapo.
 
Kama Baba mtoto amefariki Oa mzee baba. Na mchango nakuchangia. Ila kama Baba mtotoo yupo. Usithubutu. Labda na ww tia mimba upite hiviii[emoji117]
 
Back
Top Bottom