Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Fungua macho yako.. Hii nimeshuudia sijaambiwa kuna bi mkubwa mmoja age kama 55 niliwanasa akiwa na mwanae age kama 28 wakiwa kwenye conversation binti alikuwa akimpa mrejesho juu ya dawa ya mvuto aliyoipata kwa mganga inavyofanya kazi namnukuu "yaani mama saa hivi nikitembea hatua hata kumi lazima niitwe".
Hii kitu ipo sana.....

Kuna akina mama ni sumu yaani usipowajua unaweza sema ni mtu mzuri ila weee......nyuma ya pazia si mtu mzuri hata kidogo mambo anayomfunza na kumpakia binti yake....
 
Hakunaga mama mzazi wa hivi!
Nini kudanga wapo wanaowafundisha hadi ushoga vijana wao... Tembea ujione. Na uache ubishi hivi vitu sio asilimia mia moja so ukikutana na walio nyooka ujue ni hiyo asilimia chache...
 
kwa kweli ni hatari sana , yaani ukitfuta mwadada mwenye maisha yaliyonyooka aliyelelewa na single maza utapata 1/100.

wakati mwingine unadhani.labda ni laana.
Inakuwa ni Laana pale anapozaa na mume wa mtu halafu akajikuta analea huyo mtoto peke yake... Mabinti waache kufata hii misemo kama "Hakuna wa peke yako" lkn mwisho wa siku anarudi kwa mkewe.... Wanawake mwalimu wetu ni bubu, kipofu na kiziwi....
 
Vipi wanaume vitombi watoto zetu jee???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Suala la single mothers halipaswi kuangaliwa kwa kejeli hakuna anayependa kuwa single mothers ila hebu iangaliwe sababu iliyompelekea kuwa hivyo kuna wanaobakwa kuna waliopoteza wapenzi wao kwenye ajali kuna magonjwa hatarishi ya kansa Figo ini ambayo yamepoteza maisha mengi ya vijana.
Hao uliowataja hawana tatizo na watoto psychologically hawatakuwa na shida labda shida ya kiuchumi kama baba ndo alikuwa mtafutaji pekee.
Wanaosemwa ni wale wanazaa wakiwa nyumbani au wengine wameshajitegemea wanakuwa michepuko ya waume za watu tena wakubwa kuliko baba zao.. Yote kwa yote wanawake hawajielewi
 
Pole yako.
Sikuwahi kuwaona baba na mama wakigombana. I was upbrought in a peaceful well mannered family.

God I thank you!!
Also I thank God kwa malezi ya upendo mkubwa aliyonipa baba ingawa nlikuwa natamani wangekuwepo wote baba na mama, nikamuomba sana Mungu nipate mume na watoto wangu wazaliwe katika ndoa wawe baba mmoja na mama mmoja... Mungu amenisikia nimeolewa na watoto wangu wana enjoy maisha ya baba na mama... Ingawa mume wangu katengeneza single mother huko alikoenda kikazi, hili bifu wanangu hawalijui
Nimeishusha sana thamani ya ndoa...huyo dada anaishi katika kauli ya hakuna WA peke yako lkn ameachwa peke yake na mtoto (kuna kipindi watoto kama hawa waliitwa wanaharamu)
 
So sad.
Kuna waliobakwa, waliodaganywa au walisalitiwa na sisi wanaume wakajikuta ni single mothers. Hawa wanawake huweza kuwafanya watoto wao wa kike waingie kwenye maisha ya u single mother bila hata wao wenyewe kukusudia.
Comments za hao single mothers kwa watoto wao mara nyingi huwa na negativity kuwahusu wanaume.
Kwa hiyo mtoto anakuwa na notion kuwa wanaume ni wabaya. Wengine huamua wasiwe na mahusiano kabisa na wanaume.
Wengine hujiingiza ktk mahusiano na waliowazidi umri kwa sababu ya pengo la baba maishani mwake.(psychological effect)
Wengine huamua kuzaa kabla ya kuolewa kwa sababu anaona sio jambo geni(hata mama alifanya) hii ni ktk ulimwengu wa kiroho, yaani roho inatembea.

Mshukuru Mungu kwa hali uliyofikia na msamehe mumeo kwa alichofanya. Utaiokoa ndoa yako. Ukibaki nalo moyoni kuna vitu utamfanyia bila kujua halafu atazidi kuwa mbali nawe. Utakosa amani na majanga zaidi yataikumba familia yako.
 
Back
Top Bottom