Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
ooh thanks
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ooh thanks
Duuuuh! Hii inahusikaje mkuu?Nitaoa single mother yeyote kasoro aliyezaa kwa kisu/operation/caesarean section.
Hata uwe na sifa zote ninazohitaji zikajaa mpk pomoni na kuanza kumwagika lakini kamwe siwezi kukuoa kama umezaa kwa operation.
Hii ndo huwa kanuni kuu kwa wote waliooa/wanaotarajia kuoa single mothers.
Kwa hiyo ushauri kwa dada ambaye unaona kabisa unaenda kuwa single mother, jitahidi sana sana usukume mtoto mpk atoke. Ukijichanganya ukazaa kwa kisu uwezekano wako wa kuolewa unazidi kupungua labda uolewe na aliyekuzalisha.
Vipi kwa nyie dada zetu ni sababu ipi inaweza kusababisha usiolewe na single father hata kama ana vigezo vyote?
Cc all single mothers and single fathers.
Kwani imeandikwa kila uzao atazaa kwa oparesheni?Kuzaa kwa operation mwisho mara 3. So kama single mom alizaa kwa OP. Means atazaa watoto wawili tu.
So ww lama baba upo tayari kuwa na watoto 2????
Siyakukothamela Sonini na nini
Siyo kweli,wapo wanaopata surgery mara ya kwanza then kuendelea kawaida and vice versaHuo ndo uzuri wao.
Ila km umejiandaa kupata watoto zaidi ya 3 usahau endapo mtt wa kwanza kajifungua kwa operation.
Kwani imeandikwa kila uzao atazaa kwa oparesheni?
Membe Jr
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona story yako kama yangu, au ndo haka kademu portable hapa mtaani kana mtoto wa miaka 2na ushee?
Na mimi nilizoeana nako. Nilianza hivi.
Alinisalimia kwa sms "mambo" nikamjibu "poa uko vizuri" akaniambia "najisikia vibaya na sina hela ya kwendea hospitali"
Mi nikamtumia elfu 10 ndo nikawa kama nimelianzisha,
" ukipata mda njoo home basi"
Maana alikuwa ameazima geto kwa jamaa ambaye anasoma chuo, geto lilikuwa halikaliwi na mtu, hivyo akawa anaishi hapo kama kulilinda.
Basi nikawa nimeenda, akanipa mgegedo japo siku enjoy sana, ana viungo sio flexible, kila nikimkunja mapaja nipenye deeper anakuwa ana resist, basi nikajipigia bao nikasepa, nikamuahidi kumhudumia mtoto wake, sasa badala ya kumhudumia mwanae akaona labda ananikoleza na mgegedo wake ambao hauna ladha, matatizo yake yote ni solve mimi, nikamwambia sasa nakusaidia mara ya mwisho. Basi ndo hadi leo hata salamu hamna.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji56]Uwezekano wa kuwa kama wewe ni mkubwa ila kama amekuwa tofauti ni heri by the way hongera sana.
[emoji4]Kanisani kwetu wanawake wana session yao wanaomba kupata waume, wengi wao single mothers.
Yawezekana dunia ya upande wa huko uliko.
Cycle inaendelea [emoji16]Cc kajala masanja na mwanae now tayari wote wameanza kutingisha matako mtandaoni
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]hahahhaaaa mkuu.umetisha...hawaralarization.
cha ajabu sasa, anasema wanaume hawana faida huku ana mahawara kibao.
Nilisema hakuna bila kutoa maelezo, Lakini cycle hii itaendelea kama binti atataka kuendelea, kumbuka kila mtu anamaisha binafsi bila kujali baba wala mama, mahamuzi unayokichwaniUwezekano wa binti yako kupata mimba na akajifungulia nyumbani kwako ni mkubwa.. cycle inazidi kuendelea maisha yako yatakuja kufanana na maisha ya kitukuu chako labda tu itokee azaliwe mtoto wa kiume anaweza akaleta mabadiliko.
[emoji122]Single mother anayejitambua hawezi kukubali kuolewa na kijana ambaye hakuwahi kuoa. Naandika hili nikiwa na sababu tosha;
Kabla sijaoa nilikuwa na mpenzi wangu ambaye mimi sikujua kama alishazalishwa. Alinipenda sana na hata nyumbani walimpenda sana. Lakini kila nilipogusia suala la kumuoa - alikataa kabisa - sikujua sababu.
SIku ya siku tukiwa beach tunapunga upepo aliamua kunipa ukweli ..
Alisema sio kwamba hataki kuolewa na mimi bali anahofia ndugu sangu (hasa wadada) wakijua kuwa ana mtoto hawatampenda.
Kuzunga = KuzugaKuzunga kwingi ya nini? sema umeoa Sibgle Mama..
Kuzunga = Kuzuga
[emoji23]Sunajua Shule Hatuna Kaka
Haya mashetani huwa hayaelewi hata ukizungumza hayo maeno hayawaingii wao wanajionea sawa tu. Kama yalitoa ujauzito na kuuwa kiumbe cha tumboni kisicho na hatia unadhani yatashindwaje kuharibu jamii kwa kutuletea kizazi cha watoto wasiokuwa na malezi ya baba na mama katika familia.Ni tatizo ambalo jamii inapaswa kulitizama kwa jicho kali kwani nchi inaweza kutengeneza kizazi cha familia za "mzazi mmoja".
Nawapinga sana, tena kwa nguvu, wanawake wanatotetea "single motherhood" ati kwa kuwa tu wana uwezo wa kulea watoto wao. Hata wanyama nao wanaishi kifamilia.
Wewe "single mother" jifikirie kwanza maisha unayoishi kulinganisha na yale uliyoishi ukiwa kwa baba na mama. Pia fikiria haki ya mwanao kuwa na mtu ambaye anamwita "baba". Ubinafsi usiharibu kizazi cha kesho.
Sent using Jamii Forums mobile app