yambuna
Member
- Feb 23, 2018
- 92
- 100
Ipo hivi mkuu kuhusu wanawake ukisimanga mwanamke unajumlisha na mama yako dada zako na mwanao ajaee.
Unauhakika gani wa wewe kuoa mwanamke anae jifungua kawaida?
Na je! Akijifungua kwa upasuaji na mtoto akafa ....kwa hiyo utamuacha kwa sababu atakuja kuzaa wawili.... "usitukane wakunga na uzazi ungalipo".
Sent using Jamii Forums mobile app