Chief Editor
JF-Expert Member
- Feb 18, 2019
- 780
- 2,269
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nawapenda sana single mothers. Na katika malengo yangu mke wa pili nioe single motherWw unawapenda lakini hujaoa single mother.
Hata mm nawapenda sana.
Bora mdakachozi upo upande wetuKwanini usiseme tu,sitaoa mwanamke aliyezaa kwa operation? Maana Single mother siku hizi wananyanyasika sana, wanachukulia kama wao ni wa tofauti!
Mi nawapenda kinoma,wanawake zangu wote wana watoto na mimi ndio baba yao!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ya kutudaka masingo mom...
Hujambo wewe apo mdaka chozi wa auntie
Hahaha hahaha hahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na katudaka kweli
Tupo pamoja kabisa!Bora mdakachozi upo upande wetu
Nikimbiwe mara ngapi na mtoto mdakachozi ngoja nianze kukutafutaTupo pamoja kabisa!
Bebee wako akikukimbia akakuachia mtoto,usisite kunitafuta tafadhali!
Mdaka chozi akili zake anazijua mwenyeweHahaha hahaha hahaha
Nitaoa single mother yeyote kasoro aliyezaa kwa kisu/operation/caesarean section.
Hata uwe na sifa zote ninazohitaji zikajaa mpk pomoni na kuanza kumwagika lakini kamwe siwezi kukuoa kama umezaa kwa operation.
Hii ndo huwa kanuni kuu kwa wote waliooa/wanaotarajia kuoa single mothers.
Kwa hiyo ushauri kwa dada ambaye unaona kabisa unaenda kuwa single mother, jitahidi sana sana usukume mtoto mpk atoke. Ukijichanganya ukazaa kwa kisu uwezekano wako wa kuolewa unazidi kupungua labda uolewe na aliyekuzalisha.
Vipi kwa nyie dada zetu ni sababu ipi inaweza kusababisha usiolewe na single father hata kama ana vigezo vyote?
Cc all single mothers and single fathers.
Uko sahihi ila kwa single mom huwa chance ni kubwa sana kozi kila akimuona mtoto kuna ishara katika fikra yake yaja... Tofauti na mwanamke ambaye alama ya maumivu ipo kichwani tyu lakin physical evidence haipoSio single Mother tu, mwanamke yyte ambae ana mapenzi ya Kweli halaf akapata Partner ambae sio mwaminifu basi ni ngumu mno kuja kuamini tena. Ila wengine huwa wanapenda tena if mwanaume hato giveup na kumuaminisha kwa vitendo.
weeee why sasa?Umenikumbusha movie moja yule dada alikuwa yuko so obsessed na kuolewa tena na mtu mwenye pesa ikampelekea kupata mimba ya mtoto wa boss wake kumbe yule kijana hata hampendi na wazazi wa kijana hawamtaki. Kimbembe wakati wa kujifungua zikatokea complications ikaonekana akijifungua kawaida itakuwa hatari kwa uhai wa mama au mtoto, alichowaambia alisema sipo tayari kuchanwa nitaolewa vipi na mshono? Kama ndio hivyo wacha nife tu na huyo mtoto azaliwe hai au mfu sawa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16] why mimi, director wa hiyo movie au huyo mdadaweeee why sasa?
wanachekesha kama ingekua hivyo nyuchi zetu zingekuwa ndoo. Watu tuna watotoo watatu na still kama nothing happenedAliyekudanganya ana dhambi nyingi sana
Operation ina madhara kuliko kujifungua kwa mpango wake mwenyezi Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Why huyo dada bana nilataka umalizie hyo scene[emoji16][emoji16] why mimi, director wa hiyo movie au huyo mdada
Sent using Jamii Forums mobile app
wanachekesha kama ingekua hivyo nyuchi zetu zingekuwa ndoo. Watu tuna watotoo watatu na still kama nothing happened
@cajojo nimemalizia hapaAlifanikiwa kujifungua ,dada yake alikuwa mwanafunzj wa nursing na alikuwepo wakati wa kujifungua , ilibidi aongee na wale wenzie wakamficha mtoto ye wakamwambia mtoto bahati mbaya amefariki,yule mtoto akapelekwa kituo cha watoto yatima baadae dada mtu akaenda kumchukua na kwenda kuishi nae sehemu nyingine kabisa akamfanya kama mtoto wake na yule mtoto alikuja kujua baadae kuwa yule sio mama yake
Sent using Jamii Forums mobile app