Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kwanini usiseme tu,sitaoa mwanamke aliyezaa kwa operation? Maana Single mother siku hizi wananyanyasika sana, wanachukulia kama wao ni wa tofauti!

Mi nawapenda kinoma,wanawake zangu wote wana watoto na mimi ndio baba yao!
Bora mdakachozi upo upande wetu
 
Kwanini usioe aliyezaa kwa kisu?sababu za msingi
Nitaoa single mother yeyote kasoro aliyezaa kwa kisu/operation/caesarean section.

Hata uwe na sifa zote ninazohitaji zikajaa mpk pomoni na kuanza kumwagika lakini kamwe siwezi kukuoa kama umezaa kwa operation.

Hii ndo huwa kanuni kuu kwa wote waliooa/wanaotarajia kuoa single mothers.

Kwa hiyo ushauri kwa dada ambaye unaona kabisa unaenda kuwa single mother, jitahidi sana sana usukume mtoto mpk atoke. Ukijichanganya ukazaa kwa kisu uwezekano wako wa kuolewa unazidi kupungua labda uolewe na aliyekuzalisha.

Vipi kwa nyie dada zetu ni sababu ipi inaweza kusababisha usiolewe na single father hata kama ana vigezo vyote?

Cc all single mothers and single fathers.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio single Mother tu, mwanamke yyte ambae ana mapenzi ya Kweli halaf akapata Partner ambae sio mwaminifu basi ni ngumu mno kuja kuamini tena. Ila wengine huwa wanapenda tena if mwanaume hato giveup na kumuaminisha kwa vitendo.
Uko sahihi ila kwa single mom huwa chance ni kubwa sana kozi kila akimuona mtoto kuna ishara katika fikra yake yaja... Tofauti na mwanamke ambaye alama ya maumivu ipo kichwani tyu lakin physical evidence haipo

Chief
 
mkuu naona unaongea kitu ambacho hukijui na hutokaa ukijue kwa sababu wewe sio mwanamke,kifupi tu omba sana mkeo au kikzazi chako chote cha wanawake wasikumbwe na ishu ya operation,vinginevyo quit hayo maneno yako coz hakuna mtu anayejiombea opearation au anayewish ajifungue kwa operation it just happens kama tu mwanaume anavyokumbwa na mshipa wa ngiri.
 
Umenikumbusha movie moja yule dada alikuwa yuko so obsessed na kuolewa tena na mtu mwenye pesa ikampelekea kupata mimba ya mtoto wa boss wake kumbe yule kijana hata hampendi na wazazi wa kijana hawamtaki. Kimbembe wakati wa kujifungua zikatokea complications ikaonekana akijifungua kawaida itakuwa hatari kwa uhai wa mama au mtoto, alichowaambia alisema sipo tayari kuchanwa nitaolewa vipi na mshono? Kama ndio hivyo wacha nife tu na huyo mtoto azaliwe hai au mfu sawa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
weeee why sasa?
 
Hapa sasa imegeuka battle kati ya kupush VS kuchanwa.
All in all muombe Mungu ujifungue salama kwa kusukuma kwani utakapofanikiwa tuu kujifungua salama yani mtt anapotoka na kulia tuu ng'aaaaaaa maumivu yoteeee yanaishia hapo na ni njia ambayo utapona haraka na kurudi kufaya kazi zako mapema. Nyie mnaosema ceser ndo nzuri mnakua mnapenda wenyewe au inatokeaga complictions tuu zinakupelekea kufanya hivyo?
 
Alifanikiwa kujifungua ,dada yake alikuwa mwanafunzj wa nursing na alikuwepo wakati wa kujifungua , ilibidi aongee na wale wenzie wakamficha mtoto ye wakamwambia mtoto bahati mbaya amefariki,yule mtoto akapelekwa kituo cha watoto yatima baadae dada mtu akaenda kumchukua na kwenda kuishi nae sehemu nyingine kabisa akamfanya kama mtoto wake na yule mtoto alikuja kujua baadae kuwa yule sio mama yake

Sent using Jamii Forums mobile app
@cajojo nimemalizia hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom