Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ungekuwa mwanaume kamili usingeleta huu uzi!!

Mwanaume kamili hayumbishwi na nani atasemaje, nani atanichukuliaje when it comes to his decisions.

Ulipomtongoza mpaka hapo ulipofikia hukujua kama ni single mama?

So childish!
 
wew unatoka shimoni unaenda kaburin aiseee
 
Kama huyo demu ni mfuasi wa chadema piga chini
Wewe ni mjinga sana,kama Chadema waliahidi watakuoa basi utulie siku ukiwadia watakuvisha shela...nimekuona tangu muda mrefu sana;watu wanahuzunika kwa habar ya kutekwa Mdude Nyagali lkn wewe unaifurahia sana habar hiyo

Wakati mwingine uwe unajaribu kuvaa uhusika kwenye personal issues za watu uone jinsi inavyokuwa!
 
Nduguzo wakikomaa sana waambie ni double mother, maana hawamtaki single mother.
 
oa tu mkuu unaogopa 1 bila ha hahaaa ,,,,
wakati liverpool wataingia uwanjani jumanne wakiwa wamefungwa 3 bila ....
 
Lazima jamaa atapasha kiporo ww unahudumia mwanzako anatomba kilaini
Utaskia leo mchana wakati haupo baba juma kaja kumuangalia mwane bassi tambua keshatafunwa hivyo wanawake dhaifu sana
 
Muoe mkuu maisha bila changamoto hayanogi oa moto huo utakufanya akili ichangamke ha ha ha ha ha ha
 
Unaoa kwa ajili yako au kwa ajili ya ukoo wako? Ukipatia hilo jibu basi ndio fuata mojawapo.
 
Kama Baba mtoto amefariki Oa mzee baba. Na mchango nakuchangia. Ila kama Baba mtotoo yupo. Usithubutu. Labda na ww tia mimba upite hiviii[emoji117]
 
Uliona wapi mechi inaanza kuna timu tayari inaongoza gori 1bila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…