Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii


Kwa niaba Naomba niseme asante sana kwa tafakuri...
 
Something isn't right about u..!
 
Something isn't right about u..!
Ukweli huwa mchungu.

Watu wanafikiri u "single mother" ni sifa njema. Hapana. Hiyo ni tiketi ya uasherati na uzinzi.

Binti umlee ndani ya nyumba ambayo kila anaeingia anaambiwa "mwamkie baba'ko", utegemee nini? Na yeye anaiga kuwa kazi ya mababa ni kuwapanda tu, mbona mama anapandwa na kila baba!

Kwa maana hiyo hata watoto wa kiume wanaolelewa na hao wanaojiita "single mother" mwishowe huwaiga tu mama zao kwa kupandwa na "mababa", matokeo ni ushoga tu.
 
As a man thinketh in his heart so is he!

Huo ndiyo uhalisia wako bro. Kwa hiyo umeamua tu kufunga ila pole sana mzee
 
kila aliyesoma ulicho andika , ana uwezo wa kukuelezea tabia , jinsia , umri na wakoπŸ™ˆπŸ™ŠπŸ’©...
 
we ni mtanzania mwenye jinsia ya kiume mpenda pochi manyoya na asiye taraji kuoaπŸ’‘ mke mwema...πŸ˜ŠπŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚ kwa kifupi sana.
Bado umri..ili nitoe majibu
 
Unajua kuna mabinti walipata ujauzito sababu ya kubakwa? Leo hii unawapa lawama kwamba ni washerati bila kuwataja wabakaji....Eti ukweli huwa mchungu

Unajua kuna mabinti under-age waliorubuniwa na watu wazima wenye akili timamu, watu ambao huwaongelei kwenye kauli zako za kuwadharau single-mothers? ...Eti ukweli huwa mchungu

Unajua kuna wanawake waliofiwa na baba wa watoto wao, leo hii unawaita waasherati? Eti ukweli hua mchungu.

Unajua kuna wanaume waliokimbia familia na majukumu yao kama wazazi na kuwaacha wanawake kama single-mothers?, leo unawaita waasherati... Eti ukweli huwa mchungu..

Kama hujui basi huujui ukweli mchungu.!!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…