Ushauri:- member wa kike miliopo hapa,na mliopata bahati ya kusoma huu uzi,badala ya kuishia kutukana,chukulieni hili jambo serious. Hawa watu aina ya mleta mada,wapo wengi mno kwenye maisha yetu. Km umeolewa na una mtoto wa kike uliyezaa nje,kuwa mwangalifu sana na huyo mwanaume unayeishi naye. Wala usimwamini sana kwa sababu anaonyesha mapenzi makubwa,wengine wanatumia km njia ya kuficha huo uovu wao. Hiyo mbinu ndo hutumiwa hata magaidi.
Nawasisitiza hili ni Jambo kubwa sana,me nimefanyakazi kwenye taasisi moja na matukio ya aina hii nimekutana nayo mengi sana. Huu Uzi ni uthibitisho tu kuwa tunao watu wa aina hii. L