Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Nyie ndio wabakaji wakubwa wa watoto,pumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri:- member wa kike miliopo hapa,na mliopata bahati ya kusoma huu uzi,badala ya kuishia kutukana,chukulieni hili jambo serious. Hawa watu aina ya mleta mada,wapo wengi mno kwenye maisha yetu. Km umeolewa na una mtoto wa kike uliyezaa nje,kuwa mwangalifu sana na huyo mwanaume unayeishi naye. Wala usimwamini sana kwa sababu anaonyesha mapenzi makubwa,wengine wanatumia km njia ya kuficha huo uovu wao. Hiyo mbinu ndo hutumiwa hata magaidi.
Nawasisitiza hili ni Jambo kubwa sana,me nimefanyakazi kwenye taasisi moja na matukio ya aina hii nimekutana nayo mengi sana. Huu Uzi ni uthibitisho tu kuwa tunao watu wa aina hii. L
Biblia inakukataza kulala na umbu lako(dada) na mama wa mkeo tu, hawa wengine tunajiongeza tu.
kumbuka rutu alilala na wanae wa kuzaa.Huwez kulala na mtoto wa mkeo
kumbuka rutu alilala na wanae wa kuzaa.
Kulikoni tenaNakazia
sikumbuki kama alilaaniwa.Ndyo laana hiyo
Short and clear!Wewe ni mpumbavu
Duuh, matusi yote hayo ni yake
HaswaaShort and clear!