Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Next time usije ukafikiria kama mwanamke i sawa na tango
utabakia kuwa na fikra potofu na mbaya kwa maisha yako, siku nyingine kabla ya kumuongela mwanamke jaribu kufikiria mzazi wako kisha anza kumuongelea
mabaya yapo but be postive bro for your own future good
 
Kutaka kwenu 50/50 ndo kunatufanya cc tuwaache na mikelele yenu mbaki mnaoza tuuu mambo ya haki sawa waachien wazungu ambao wanaishi ndoa za majaribio.....Allah anasema mwanamke awe chini ya mwanaume so mkijfanya wabsh nikuwa single mother tuuuuu
Mimi Ni mwaname sio mwanamke
usillalamike wanawake wanataka usawa ila lia na kujutia ukishindwa kuishi na mke wako kwa akili
 
Mzaz Wangu sio single mother aliolewa na father Wangu kwa heshma zote na taratb zote za kidin na Allah ndo shahd mkuu.....so Mzaz Wangu sio tango kama hayo matango yanayojiachia achia nakujdai yanataka 50/50
 
Mzaz Wangu sio single mother aliolewa na father Wangu kwa heshma zote na taratb zote za kidin na Allah ndo shahd mkuu.....so Mzaz Wangu sio tango kama hayo matango yanayojiachia achia nakujdai yanataka 50/50
hongera sana
naona ulionja hadi ukajua sio tango kama matango mengine
hatar sana kwahiyo mama yako nikama tango limevunwa leo eee?
nilikuambia ukikua utajua unalazimisha upuuzi
umeona sasa unaropoka siri zako na mama yako?
yaani hadi umejua aina ya tango lake?
heshima kwako dooooooh! Umetisha sana
 
Picha hii ilipigwa mwaka 2013 katika mbuga ya wanyama ya Maasai Mara, nchini Kenya na mpiga picha za wanyama (wildlife photographer) Alison Buttigieg, na ilishinda kuwa picha bora ya mwaka katika tuzo za habari huko Australia.

Swala huyu anayesulubiwa na chui hawa, ni Mama wa watoto wawili. Akiwa na wanae kwenye maskani yao, walivamiwa na chui waliokuwa na njaa. Watoto wake walikuwa wadogo na hawakua na nguvu za kuweza kukimbia na kujiokoa. Mama yao angaweza kuaamua kukimbia na kuwaacha wanae ambao wangeweza kuwa chakula cha chui.

Lakini hakuwaacha alikimbia nao. Baada ya umbali kidogo akaona chui wamemkaribia. Akaacha wanae waende na yeye akapunguza mwendo. Alitaka kuhakikisha wanae wanakuwa salama hata kama yeye atadhurika. Chui wakamfikia na kumparamia.

Katikati ya chui wawili bado aliweza kusimama wima na kuwatazama wanae ambao walikuwa wakizidi kuyoyoma porini. Alikuwa akiwatazama kwa mara ya mwisho maana alijua hatawaona tena!!! Ilikuwa ishara ya kuwaaga.

Kwa macho yenye ujasiri aliwaaga wanae. Aliwakodolea macho hadi wakapotelea kabisa porini kabla ya kukubali chui kumgeuza chakula. Alihakikisha kitu cha mwisho kuona kwenye macho yake ni taswira ya wanae. Ilikuwa ni ishara ya kuwaaga. Alijua hatawaona tena, lakini hakusikitika maana alijua kifo chake kilikua ukombozi kwa wanae.

Picha hii inatuonyesha taswira halisi ya Upendo wa Mama....picha hii ni maalum kwa wanawake wote mnaolea watoto peke yenu..msiogope..Mungu yuko nanyi..pambaneni..

C&P

 
Sio akina mama wote wenye tabia kama ya huyo swala, wapo wakina mama wenye ukatili mkubwa na hata kuwaua watoto wao kwa mikono yao wenyewe kuliko kusubiri hata pengine wauwawe na wanyama wakali
 
Mmmmmmh,

BIG UP KWA SWALA HUYU.

NADHAN HATA KWA MUMEWE ALIKUWA NA UPENDO WA DHATI.
 
Kijana usi mzalishe binti yoyote ambaye hauna mpango wa kumuoa ..maana madhara unayomuachia ya kijamii na kisaikolojia ni makubwa sana..
 
Hao sio chui ni duma (cheetah) hata angeamua kukimbia asingefika wapi hao cheetah ndio fastest animal
 
weye bado mdogo, mapenzi ni kitu nyingine kabisa, nyamaza yasije yakakukuta
 
hakuna umalaya.hapo wewe ulitoka wapi, si ajabu wewe ulipatikana kwa mtindo huu ni watu wawili walipigana chini wamesimama,
 
Hivi unawezaje kuoa singo maza?


Huo moyo hata motoni unakaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…