Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ukiona mtu anakimbilia matusi ujue Hawez tena kushindana kwa hoja in short ni kwamba umeshindwa kabisaaa so endelea kuwanyonyesha watoto uliozalishwa na wanaume wa 5 tofaut tuache tunaojielewa tuenjoy na wanawake fresh pure wasio kuwa ma used like misingle mothers
 
Ni rahisi sana hii. Kwa wastani tabia za wanaume zinafanana.

We jiulize hivi "Je utaweza kumweka ndani mwanamke aliyeshindwa na mwanaume mwenzako?"
lakini sio wote wanaachwa na waume zao kwa tabia zao, wapo wanaozalishwa na kuachwa wangali bado hawajaolewa though spingani na wewe. Yes, it's still a probability
 
Mzaz Wangu sio single mother aliolewa na father Wangu kwa heshma zote na taratb zote za kidin na Allah ndo shahd mkuu.....so Mzaz Wangu sio tango kama hayo matango yanayojiachia achia nakujdai yanataka 50/50
sababu ya kauli yako hapo juu umeonyesha wazi unauhakika mzazi wako yukoje, sijakutukana kwahiyo niwewe uliyetuambia na unauhakika nalo
sasa kama umeweza kuongea hivyo sisi tunajiuliza umejuaje?

pia mimi ni mwanaume sio mwanamke sawa?

 
sababu ya kauli yako hapo juu umeonyesha wazi unauhakika mzazi wako yukoje, sijakutukana kwahiyo niwewe uliyetuambia na unauhakika nalo
sasa kama umeweza kuongea hivyo sisi tunajiuliza umejuaje?

pia mimi ni mwanaume sio mwanamke sawa?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ona sasa unavyoikana jinsia yako. We si unadai unajskia aman na fur aha kulea watt bila baba yao au sababu ushaifuta post yako.....yaan unatetea jambo ambalo hata ww muhusika mkuu hauko comfortable nalo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Allah atunusuru kwakweli au ulizalishwa na babu kizee baada yakuona pesa zake za mafao ni tamu
 
Kama wewe ni kijana hujawahi kuoa ujue kuoa single mother ni kuwadhalilisha wazazi.
Tena kama wewe ni wa kwanza kuzaliwa ni mkosi hata kwa uzao wako.Hao single mother tuachieni sisi wazazi wenu wawe mama zenu wadogo sisi hatuna cha kupoteza.
Ni kosa kijana mbichi kuoa single mother kama nawe umeachana huko sawa kuna unafuu.
 
 
Kikubwa ishi na hawa viumbe kwa akili kubwa sana.

Otherwise nikutakie kila lakheri
 
ni wazo zuri ila fikiria hii ni mida ya saa nnne asubuhi mnakunywa chai baba wa mtoto wa anapiga simu anasema ''nataka nimuone mwanagu kuna vitu nimemletea siwezi kuja hapo kwako maana umeolewa;; na mkeo anasema baba fulani kasema nimplekee mwanae ampe zawadi zake...trust me kitu ambaco kitakukosesha amani kwa miaka mingi mimi pia nilikua katka mahusiano na single mother ila nakumpenda kote huko ila hapo ilibidi nijivue na kuacha mapenzi yote maana nilishndwa kuvumilia,,,afu ukute jamaa msumbufu mara apige saa tano usiku na huwezi mzuia kuongea na msela atasema kwa ajili ya mtoto
 
Ila usije kuwa mkali,mwenye mtoto/watoto akiwa anapiga Simu kuulizia au kuomba kupelekewa mtoto/watoto ili awaone........mkali na nyumbani kwako na mkeo kulala huko huko
 
[emoji848][emoji848][emoji848] hebu nieleweshe vizuri kuhusu hili,
 
[emoji848]
 
Utakuja kulia humu ndani hivi mkuu wenzako mechi inaanza 0-0 wewe unaanza 1-0

Unaenda nunua kiwanja chenye migogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…