ni wazo zuri ila fikiria hii ni mida ya saa nnne asubuhi mnakunywa chai baba wa mtoto wa anapiga simu anasema ''nataka nimuone mwanagu kuna vitu nimemletea siwezi kuja hapo kwako maana umeolewa;; na mkeo anasema baba fulani kasema nimplekee mwanae ampe zawadi zake...trust me kitu ambaco kitakukosesha amani kwa miaka mingi mimi pia nilikua katka mahusiano na single mother ila nakumpenda kote huko ila hapo ilibidi nijivue na kuacha mapenzi yote maana nilishndwa kuvumilia,,,afu ukute jamaa msumbufu mara apige saa tano usiku na huwezi mzuia kuongea na msela atasema kwa ajili ya mtoto