Ubarikiwe mkuuNiwasihi na kuwaomba Masingle mothers wote wanaopita humu Jf na kusoma hizi nyuzi kuwa wasikatushwe tamaa, wasimame imara wapambane na Mungu yupo upande wao.
Hawa wanaongea maneno ya shombo hata wao walilelewa/wanalelewa na single mothers
Kuwa single mother sio dhambi
Sijalelewa na single Mother mimi, mama angu yupo kwenye Ndoa ata kabla sijazaliwa mkuu,Niwasihi na kuwaomba Masingle mothers wote wanaopita humu Jf na kusoma hizi nyuzi kuwa wasikatushwe tamaa, wasimame imara wapambane na Mungu yupo upande wao.
Hawa wanaongea maneno ya shombo hata wao walilelewa/wanalelewa na single mothers
Kuwa single mother sio dhambi
Aliefiwa na mumewe, aliebakwa, automatically hawahusiki hapa. Lakini wale waliozaa nje ya ndoa kwa kiherehere chao tu, hii inawahusu. Na religiously mwanaume halazimishwi kumtunza mtoto wa aina hio bali anatakiwa atunzwe na mamaake.Mwanaume yeyote anaemsimanga mwanmke aliezaa na kulea mtoto peke yake ni wa kupimwa akili
Kama una akili zako timamu kweli anza kuwaongelea na waliowapachika mimba na kuzikataa,ongelea waliowabaka,na sio kila mwanamke anaelea mwanae mwenyewe ana tabia mbovu.kuna single mothers wengine wajane baba wa watoto wamefariki,wengine wamefungwa jela nk.
Ukumbuke bila ushiriki wa mwanaume mimba isingetunga.
Kwako wewe bora yupi Kati ya hawa wawili anaye toa mimba ili asiwe Single mother na anaye baki na mimba hatimaye mtoto yupi kwako bora zaidi?Sijalelewa na single Mother mimi, mama angu yupo kwenye Ndoa ata kabla sijazaliwa mkuu,
Mnavyowatia moyo ndivyo mnawapa nafasi hao walio nyuma kuwa Single Mother
Mwanaume yeyote anaemsimanga mwanmke aliezaa na kulea mtoto peke yake ni wa kupimwa akili
Kama una akili zako timamu kweli anza kuwaongelea na waliowapachika mimba na kuzikataa,ongelea waliowabaka,na sio kila mwanamke anaelea mwanae mwenyewe ana tabia mbovu.kuna single mothers wengine wajane baba wa watoto wamefariki,wengine wamefungwa jela nk.
Ukumbuke bila ushiriki wa mwanaume mimba isingetunga.
Kwa nini ubebe mimba kabla ya kuolewa mkuu?Kwako wewe bora yupi Kati ya hawa wawili anaye toa mimba ili asiwe Single mother na anaye baki na mimba hatimaye mtoto yupi kwako bora zaidi?
Mimba aitafute mwenyewe alafu aitoe!!! Dhambi mara mbili.Nyie ndo huwa mnafanya mabinti wanatoa mimba.
Jibu swali langu mkuuKwa nini ubebe mimba kabla ya kuolewa mkuu?
Mzee baba, story za mingegedona kugegedani zinakutambulisha zaid Zero IQSingle mother's mtakuja kubisha hapa ila ukweli ndio huo Kuoa Single Mother ni kama kurisk kwa kwenda kununua Kiwanja unachojua wazi kabisa kina mgogoro,
Uhalisia ni kama unacheza betting tu, sasa kwa nini uwende ukanunue kiwanja chenye mgogoro na wakati viwanja vya wazi vipo vingi,
Single mother's wamesharisk maisha Yao kwa kuwa tayari wana watu wao Walio wapa viwanja vyao wavitumie, kijana/mwanaume mwenzangu usipoteze Muda wako kwenda kutaka kujenga kwenye kiwanja hicho kwa sababu ipo siku yule aliyepewa kiwanja mwanzo atarudi na kukaa kwenye apartment yake,
Mademu mbona wapo wengi tu wanaohitaji kuolewa na sio Masingle bi mkubwa, na siku hizi Posa sio inshu tena unamwita tu Sogea tukae baada ya wiki kashakuwa mke,
Siku hizi wasichana wanazaa zaa tu bila kuwa na future, hawaogopi tena kuwa masingle Bi mkubwa kwa kuwa wanajua kuna wanaume watatokea na kuwaoa.
Hawa ni wa kuweka kambi ya muda tu ila ukitaka kuoa nenda kaoe demu ambae utaanza nae Race.
Cc Zero IQ
Anaetoa Mimba nitakuwa sijui kama ametoa hiyo kwangu afadhari kwa sababu ni siri yake mkuu, mimi kwangu itakuwa nimeoa mke freshJibu swali langu mkuu
Kwasababu hiyo mimba anajitia mwenyeweKwa nini wasitulie Mimba wakapatie kwa waume zao
Oa tu mkuuHii thread inachoma kama pasi, juzi tu kuna single mother nimembebesha mimba, nishauri mkuu[emoji56]
Kwani yeye asingeitoa Papuchi yake mimba ingeingia?Kwasababu hiyo mimba anajitia mwenyewe
Haukukosea kabisa kujiita zero IQKwani yeye asingeitoa Papuchi yake mimba ingeingia?
Wote janga tupu. Sorry kwa kujibu wakati sijaulizwa mimi.Kwako wewe bora yupi Kati ya hawa wawili anaye toa mimba ili asiwe Single mother na anaye baki na mimba hatimaye mtoto yupi kwako bora zaidi?
Eti umeoa mke fresh unajua matatizo anayoweza kupata mwanamke anaye toa mimba Kuna kutoka kwa mimba pindi atakapo hitaji mtoto,kukosa mtoto kabisa hapo kwako ni bora inashangaza.Anaetoa Mimba nitakuwa sijui kama ametoa hiyo kwangu afadhari kwa sababu ni siri yake mkuu, mimi kwangu itakuwa nimeoa mke fresh