Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Niwasihi na kuwaomba Masingle mothers wote wanaopita humu Jf na kusoma hizi nyuzi kuwa wasikatushwe tamaa, wasimame imara wapambane na Mungu yupo upande wao.
Hawa wanaongea maneno ya shombo hata wao walilelewa/wanalelewa na single mothers

Kuwa single mother sio dhambi
Sijalelewa na single Mother mimi, mama angu yupo kwenye Ndoa ata kabla sijazaliwa mkuu,

Mnavyowatia moyo ndivyo mnawapa nafasi hao walio nyuma kuwa Single Mother
 
Mwanaume yeyote anaemsimanga mwanmke aliezaa na kulea mtoto peke yake ni wa kupimwa akili

Kama una akili zako timamu kweli anza kuwaongelea na waliowapachika mimba na kuzikataa,ongelea waliowabaka,na sio kila mwanamke anaelea mwanae mwenyewe ana tabia mbovu.kuna single mothers wengine wajane baba wa watoto wamefariki,wengine wamefungwa jela nk.

Ukumbuke bila ushiriki wa mwanaume mimba isingetunga.
Aliefiwa na mumewe, aliebakwa, automatically hawahusiki hapa. Lakini wale waliozaa nje ya ndoa kwa kiherehere chao tu, hii inawahusu. Na religiously mwanaume halazimishwi kumtunza mtoto wa aina hio bali anatakiwa atunzwe na mamaake.
 
Mbona inajulikana wazi SINGLE MOTHERS NI WALE WALIOPATA MIMBA KWA UZEMBE...alafu wakaachana...
Mwanaume yeyote anaemsimanga mwanmke aliezaa na kulea mtoto peke yake ni wa kupimwa akili

Kama una akili zako timamu kweli anza kuwaongelea na waliowapachika mimba na kuzikataa,ongelea waliowabaka,na sio kila mwanamke anaelea mwanae mwenyewe ana tabia mbovu.kuna single mothers wengine wajane baba wa watoto wamefariki,wengine wamefungwa jela nk.

Ukumbuke bila ushiriki wa mwanaume mimba isingetunga.
 
Single mother's mtakuja kubisha hapa ila ukweli ndio huo Kuoa Single Mother ni kama kurisk kwa kwenda kununua Kiwanja unachojua wazi kabisa kina mgogoro,

Uhalisia ni kama unacheza betting tu, sasa kwa nini uwende ukanunue kiwanja chenye mgogoro na wakati viwanja vya wazi vipo vingi,

Single mother's wamesharisk maisha Yao kwa kuwa tayari wana watu wao Walio wapa viwanja vyao wavitumie, kijana/mwanaume mwenzangu usipoteze Muda wako kwenda kutaka kujenga kwenye kiwanja hicho kwa sababu ipo siku yule aliyepewa kiwanja mwanzo atarudi na kukaa kwenye apartment yake,

Mademu mbona wapo wengi tu wanaohitaji kuolewa na sio Masingle bi mkubwa, na siku hizi Posa sio inshu tena unamwita tu Sogea tukae baada ya wiki kashakuwa mke,

Siku hizi wasichana wanazaa zaa tu bila kuwa na future, hawaogopi tena kuwa masingle Bi mkubwa kwa kuwa wanajua kuna wanaume watatokea na kuwaoa.

Hawa ni wa kuweka kambi ya muda tu ila ukitaka kuoa nenda kaoe demu ambae utaanza nae Race.

Cc Zero IQ
Mzee baba, story za mingegedona kugegedani zinakutambulisha zaid Zero IQ
 
Anaetoa Mimba nitakuwa sijui kama ametoa hiyo kwangu afadhari kwa sababu ni siri yake mkuu, mimi kwangu itakuwa nimeoa mke fresh
Eti umeoa mke fresh unajua matatizo anayoweza kupata mwanamke anaye toa mimba Kuna kutoka kwa mimba pindi atakapo hitaji mtoto,kukosa mtoto kabisa hapo kwako ni bora inashangaza.
 
Back
Top Bottom