Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Eti umeoa mke fresh unajua matatizo anayoweza kupata mwanamke anaye toa mimba Kuna kutoka kwa mimba pindi atakapo hitaji mtoto,kukosa mtoto kabisa hapo kwako ni bora inashangaza.
Hata aliyezaa anaweza patwa na hayo pia.
Kwako wewe Bora mwanaume kulea mtoto wa mwanaume mwenzie ambaye baba yake atarudi apashe kiporo?
 
Kajibebesha? Kwani wakati unamkojolea hukujua kwamba unapanda mbegu na kwamba lolote linaweza kutokea mbegu inaweza ikaota au isiote? Utamu mnataka ila majukumu hamtaki siyo?
kuna mmoja kajibebesha kitambi huku akijua mi ni mme wa mtu...ili niweze kumpa haki sawa na mrs,wakati hicho kitu kwangu hakiwezekani
 
Mungu hawezi kuwa upande wa mzinzi
 
Kwa niaba ni Zero IQ hataki habar za kuoa singo maza.

Tunaomba kuheshim mawazo yake.
Jibu lako hilo hapo
 
,,single maza wengi wanakua wameponzwa na wanaume waliowaamini,,sasa wanaume wanakimbia majukum na kumuacha single maza,,,usi judge mtu kua single maza,ebu angalia ni moyo gani alio nao hadi kukubali kulea mtoto peke ake badala ya kutoa mimba,,
 
Mada za kutafutia Kiki na umaarufu kunuka jf
Wanawake stuken,potezeen this trash
Unakuta kajitu kanaishi kwenye ka chumba ka stoo huko tandale akipata buku anakimbilia kuanzisha thread upupu jf ili awe maarufu
Hahahahah lmao

Daah Ngoja nipambane juu chini Mwaka huu nihame Tandale, maana tunaonewa sana wakazi wa tandale hata kwa makosa ambayo si yetu
[emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…